Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Wakiwa utupu kama broilaEeh ndo ivo kidogo tu umehisi njaa, mara jioni umejisogeza kwenye supu ya pweza, umetoka hapo umenunua karanga au korosho kwanini usiwe kibonge.
Ndio maana wadada wengi mjini wana maumbo ya ajabu mno ni nguo tu zinawasaidia ila maumbo yao wakivua yanatisha.
Uje Central ipo dawa nzuri utapungua ndani ya siku 3 tu! Ukija ukiza afande Mathias Marwa Chacha!na nivute bangi ila nimefanya hivyo hakuna matokeo yoyote
Duniani tunat0fautiana majanga... unal0litaka mwenzak0 halitaki..dah! Wakati Mimi ninnapambana walau niongeze hata kilo 2 tu,huku kuna mwingine anatamani kupunguza kilo.
Kila la heri mkuu,kama kilo zingekuwa zinahamishika,ningeomba unipunguzie
I agrree...milo mitatu ni kwa saidia fundi na high performance athletes lakini sie wakukaa tunachapa marimba ya mzungu hapa jf au ofisini mlo mmoja tuu unatoshaOne meal a day akiweza kuona ni kawaida atadnjoy hiyo life style.
Kuna wajanja wanaita kushinda na njaa yani OMAD wanaitia majina mabaya ilimradi mtu akiifanya aone anateseka.
Lakini uukweli ni kwamba miili yetu kula mjlo mitatu tunafosi tu ila mlo mmoja kwa siku unatosha sana.(depends na activity ya mtu)
Kweli kabisa mkuuDuniani tunat0fautiana majanga... unal0litaka mwenzak0 halitaki..
Sisi tukusaidieje?Mazoezi hayanishindi ila mipangili0 ya kazi inafanya nak0sa maz0ezi...Naondoka home sa 11 alfajili narudi sa 4 usiku ila kazi ninay0fanya ni kukaa kwenye kiti tu..
Hayo mambo ya kupunguza miili sisi wanawake ndo ma proo wa hizo kazi.usijali hapo tatizo limeisha nakupa mwezi mmoja tu utakuwa umebaki njiti.we ukiamka asubuhi chemsha maji sagia tangawizi kiasi chuja kwenye kikombe kamulia limao kunywa .usinywe chai kabisa mchana unaweza kula kidogo tu na jioni kidogo pia.cha msingi we sahau kuhusu chai achana na soda na vilevi . Mwezi mmoja tuKhabari zenu,
Nimekuwa mtu wa kujisikia vibaya sana nikiuangalia mwili wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28, nina kilo 93.
Nimenenepa sana. Nina kilo nisizozipenda, nimetumia mbinu ya mazoezi Ila nahisi kushindwa cuz ratiba za kujitafutia ridhiki zinabana. Natamani Nipungue nifikie hata kilo 75.
Mwili unanifanya nikivaa sipendezi kabisaa. Shepu mbaya, nina umbo la Kiazi sieleweki. Kitambi kikubwa.
Kuna jamaa yangu aliwahi nambia ili nipungue kwa haraka niwe nakunywa konyagi na nivute bangi ila nimefanya hivyo hakuna matokeo yoyote zaidi ya kujiumiza kuwa mlevi tu (Nimeacha).
Mwili nadhani unafanya mpaka nikiwa na mpenzi wangu kitandani simfikishi maana dakika 2 tu nishakojoa. Naumia na hii hali. Naombeni mbinu jamani, najua kuna watu humu walikuwa kama mie au zaidi ya mie.
Kitambi ninacho, nina maziwa makubwamakubwa yaani aibu siipendii hii hali naumia sana.
Miaka kadhaaa nyuma nilikuwa kawaida tu. Sikuwa kama sasa ila nashangaa nazidi kufumuka mwili yaani mpaka nakuwa na kibamia.
Uzi na picha.
View attachment 2646189
Sidhani ,nilikuwa kule,mwanzoni mwa kozi nilipima uzito nikawa na kg56 nimemaliza kozi nikiwa na kg 64,sikuwa mtegeaji sema lishe ya kule ni nzuri sana ,so wakati mwingine sidhani kama ni suruhu ya unene wa huyu jamaaAu Kama vipi unga na form six mujibu wa sheria ukirudi mwili umeisha wote
20% ya weight loss ni mazoezi, 80% ni discipline kwenye ulaji ndo maana wapo watu wana attend Gym daily lkn hakuna matokeo chanya sawa na mategemeo yao, hii ni kwa sababu wamekosa nidhamu ya kudhibiti namna ya ulaji.Khabari zenu,