Nahitaji kupungua Mwili/ Kilo. Naumia sana

Nb hayo maji yenue tangawizi unywe yakiwa ya umoto kiasi cha wewe kuweza kunywa namaanisha yasipoe.angalizo usichemshe yakiwa na limao limao kamulia yakiwa tayari yanajoto unaloweza kunywa then kunywa
 
Lakini pia unaweza kuwatafuta forever living wana program inaitwa C9 itakufaa sana.. Japo bei imechangamka
 
Ogelea utaisha mwenyewe
 
Vyakula vyako na vinywaji vyako ndiyo wabaya wako nambari moja. Ukiweza kutawala ulaji wako tatito lako limekwisha. Jiangalie ulaji wako na unywaji wako. Kuna vitu kama wali, chips, nyama, soda/juice, enegy, bia, nk.. Kama unatumia sana anzia hapo kurekebisha.
NB; HUWA NAAMINI NI UPUMBAVU KUFANYA MAZOEZI ILI UPUNGUE MWILI WAKATI UNAENDELEA KUONGEZA KULA/KUNYWA.
 
Mkuu mtafute Dr Boaz mkumbo Instagram soma mafundisho yake google elsewhere ufanye kifupi uchawi ni wanga na sukari nilikuwa na kg 138 now Nina 72 nikiwa poa
 
Mwili wa kawaida tu huo., Punguza kula vyakula vya Wanga, Mafuta... Kula asubuh na usiku... Mazoez sio lazima kilasiku jitahid ×3 kwa wiki...
 
BMI pekee ndo inaweza kukuonesha umepungua au umeongezeka, macho si kipimo sahihi! Sikushauri uongezeke kg!
Zaidi ya mara 2 nimeenda kwa wataalamu wa lishe na hiyo sijui calculation ya BMI nilishafanya,ikaonekana Niko underweight.Umri,urefu haviendani na kilo zangu
 
Umewahi kufunga..? Yani fasting
 
Kama uko serious kweli na kupungua, nenda Google, search "50 Cent liquid diet" utaona jamaa alivyopungua kwa kula liquid foods only for nine weeks, lakini pia alikua anafanya mazoezi masaa matatu kwa siku. So na wewe utaongeza mazoezi kidogo maana huyu alifanya hivyo kwa kuwa alikua ana act kama mgonjwa wa cancer kwenye movie yake ya Things fall apart. Ukishafika your desired weight unaanza kula kidogo kidogo na zoezi usiache. Mimi nafanya hii sasa hv, nilikua na 115kgs, in three weeks nimekata tano tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…