Njia aliyoichagua ni ngumu sana, labda angejaribu kwenye gitua vya yatima, au agetafuta mwanamke mjamzito aliyebakwa, hajui baba wa mtoto, aoe mama pamoja na mtoto tumboniLabda jamaa ana matatizo ya uzazi kaamua kupata mtoto kwa njia nyingine.
Tafuta mwanamke tia mimba akuzalie
Wanaume akikili sijui huwa mnapeleka wapi, hata niwe nakufa maskini, sikupi mtoto wangu kirahis namna hiyo.
Hivi kutokuzaa kunasababishwa na ukosefu wa nguvu za kiume. Funguka mkuu nina la kujifunza hapa.Nguvu za Kiumee...!! Mkuu Mungu akusaidie usikate tamaa ipo siku utafanikishaa tuu...
MEWewe ni ME au KE?
Hapatikani ki urahisi kwa lengo la kumtia mimba akuzalieTafuta mwanamke tia mimba akuzalie
Tusubiri kuona labda atapata....mpeni angalau mtoto mmoja tuNjia aliyoichagua ni ngumu sana, labda angejaribu kwenye gitua vya yatima, au agetafuta mwanamke mjamzito aliyebakwa, hajui baba wa mtoto, aoe mama pamoja na mtoto tumboni
Nampa pole lakini hii shortcut ni ngumu, atlist adoption kwenye vituo vya yatima ni njia ambayo haitampa stress, anadai ni process ndefu, kama kweli amdhamiria na anashida ya mtoto, sidhani kama hizo process ni kituKusoma hujui basi hata picha huioni? Mwenzio iz don't have mbegu.
Mimi ni ME sio KEHuna lolote
Utakuwa umemdanganya mumeo una mimba.
Kwanini upange umri wa mimba? Kwanini ukatae yatima?
Subiri kuchukua watoto wale wanaotupwa.
Haiwezi kua nguvu, labda ungesema mbeguNguvu za Kiumee...!! Mkuu Mungu akusaidie usikate tamaa ipo siku utafanikishaa tuu...
Hili suala la kushindwa kumpa mwanamke uja uzito hasa kwa mwanaume inatokana na..Hivi kutokuzaa kunasababishwa na ukosefu wa nguvu za kiume. Funguka mkuu nina la kujifunza hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe shida ni upatikanaji, sasa wewe unataka mtu akuzalie halafu umchukue mtoto, hakuna mwanamke atakubali, Oa anzisha familiaHapatikani ki urahisi kwa lengo la kumtia mimba akuzalie
Dunia inaenda kasi sanaTusubiri kuona labda atapata....mpeni angalau mtoto mmoja tu
Asante kwa somo lako. Hii changamoto naipitia pia japo sijajua sababuHili suala la kushindwa kumpa mwanamke uja uzito hasa kwa mwanaume inatokana na..
Upungufu wa Sperm.. low sperm count.
Sperm kushindwa kusmim mpaka kulikuta yai means hazina nguvu
Mashine kushindwa kusimama na kueject sperm kwa force ya kutosha kutia mimbaa...!!
Hizi ni baadhi ya factors but zinatibika mkuu