themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
Yawezekana nikaoneoana mjinga ila nipo sahihi kabisa maana hata nchi za wazungu ukimnyanyasa mtu kimapenzi unafunguliwa mashtaka kumnyanyasa mtu kujinsia
Nikiri huu usafiri wa Mwendokasi ni mara chache sana kuupanda ila ikitokea emergency basi mara moja moja nakuwa sina jinsi ila juzi usiku mida ya saa 1 jioni wakati natokea kivukoni kuelekea Morocco kulikuwa na shida ya magari, lilipokuja Gari la moroco tukawa tumejaa sana hata sehem ya kugeuka shida basi Gari lilipofika Fire wakashuka watu wachache ikapatilana kinafasi wakaingia watu wachache na mmoja wapo ni mdada kwa sura sikumuona maana alikuwa amejifunika ila nahisi ana asili ya watu wa asia maana mikono ilikuwa myeupe kabisa
Alipopanda kanikuta mimi ndani ila akaniambia kaka naomba nipite mlangoni kuna wezi, mi nikamwambia hamna sehem ya kupita mbele yangu ila akafosi kupita alafu hakwenda mbali akakaa mbele yangu akawa amenibana na makalio yake kama kayaegemeza kwangu kwa kujiachia kabisa na kila nilipojaribu kujisogeza nikawa nakwama kila nikigeuka anajisogeza kwangu, nikajikuta nanyanyaswa kihisia na sipendi hayo mambo na mdada kajazia
Nimekuja kupata nafasi ya kugeuka magomeni kanisani Nipo hoi kwa manyanyaso maana alifanya kusudi ikabidi nimfuatilie akashuka mkwajuni , maana yangu nilitaka nijua hata anapokaa ikiwezekana nifungue kesi kama itawezekana kama wataalam wa sheria mpo mnisadie