Nahitaji msaada wa kisheria nahisi kunyanyaswa na mwanamke kwenye usafiri wa uma

themagnificient

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
1,033
Reaction score
3,720
Yawezekana nikaoneoana mjinga ila nipo sahihi kabisa maana hata nchi za wazungu ukimnyanyasa mtu kimapenzi unafunguliwa mashtaka kumnyanyasa mtu kujinsia

Nikiri huu usafiri wa Mwendokasi ni mara chache sana kuupanda ila ikitokea emergency basi mara moja moja nakuwa sina jinsi ila juzi usiku mida ya saa 1 jioni wakati natokea kivukoni kuelekea Morocco kulikuwa na shida ya magari, lilipokuja Gari la moroco tukawa tumejaa sana hata sehem ya kugeuka shida basi Gari lilipofika Fire wakashuka watu wachache ikapatilana kinafasi wakaingia watu wachache na mmoja wapo ni mdada kwa sura sikumuona maana alikuwa amejifunika ila nahisi ana asili ya watu wa asia maana mikono ilikuwa myeupe kabisa

Alipopanda kanikuta mimi ndani ila akaniambia kaka naomba nipite mlangoni kuna wezi, mi nikamwambia hamna sehem ya kupita mbele yangu ila akafosi kupita alafu hakwenda mbali akakaa mbele yangu akawa amenibana na makalio yake kama kayaegemeza kwangu kwa kujiachia kabisa na kila nilipojaribu kujisogeza nikawa nakwama kila nikigeuka anajisogeza kwangu, nikajikuta nanyanyaswa kihisia na sipendi hayo mambo na mdada kajazia

Nimekuja kupata nafasi ya kugeuka magomeni kanisani Nipo hoi kwa manyanyaso maana alifanya kusudi ikabidi nimfuatilie akashuka mkwajuni , maana yangu nilitaka nijua hata anapokaa ikiwezekana nifungue kesi kama itawezekana kama wataalam wa sheria mpo mnisadie
 
NDUGU YANGU CHA KWANZA SHUKURU SANA HUO MCHEZO UMEKUPITIA KUSHOTO ILA UNGEJIKANYAGA HADI UKAKOJOA NAKWAMBIA UNGEKUWA MWANAFAMILIA MPYA WA DUNGA DUNGA MAANA BAO LA KUDUNGA NI TAM KULIKO LA KUTO.... HIYO ISHU IPO KAMA MADAWA YA KULEVYA IKIKUKOLEA MKE UNAWEZA KOSA HAMU NAE ALAFU HUO MCHEZO UNA WADAU WA JINSIA ZOTE WAKIKE NA WAKIUME KUNA WANAWAKE HUWA WANALULETEA KABISA SIJUI WANAKOJOAGA AU NI NINI SEMA SHUKURU SANA
 
Yawezekana nikaoneoana mjinga ila nipo sahihi kabisa maana hata nchi za wazungu ukimnyanyasa mtu kimapenzi unafunguliwa mashtaka kumnyanyasa mtu kujinsia

Nikiri huu usafiri wa Mwendokasi ni mara chache sana kuupanda ila ikitokea emergency basi mara moja moja nakuwa sina jinsi ila juzi usiku mida ya saa 1 jioni wakati natokea kivukoni kuelekea Morocco kulikuwa na shida ya magari, lilipokuja Gari la moroco tukawa tumejaa sana hata sehem ya kugeuka shida basi Gari lilipofika Fire wakashuka watu wachache ikapatilana kinafasi wakaingia watu wachache na mmoja wapo ni mdada kwa sura sikumuona maana alikuwa amejifunika ila nahisi ana asili ya watu wa asia maana mikono ilikuwa myeupe kabisa

Alipopanda kanikuta mimi ndani ila akaniambia kaka naomba nipite mlangoni kuna wezi, mi nikamwambia hamna sehem ya kupita mbele yangu ila akafosi kupita alafu hakwenda mbali akakaa mbele yangu akawa amenibana na makalio yake kama kayaegemeza kwangu kwa kujiachia kabisa na kila nilipojaribu kujisogeza nikawa nakwama kila nikigeuka anajisogeza kwangu, nikajikuta nanyanyaswa kihisia na sipendi hayo mambo na mdada kajazia

Nimekuja kupata nafasi ya kugeuka magomeni kanisani Nipo hoi kwa manyanyaso maana alifanya kusudi ikabidi nimfuatilie akashuka mkwajuni , maana yangu nilitaka nijua hata anapokaa ikiwezekana nifungue kesi kama itawezekana kama wataalam wa sheria mpo mnisadie
Una umri gani mkuu? Ili niweze kuandaa mashitaka vizuri.
 
3E4B37AB-92EE-4425-9526-F216DA9662F9.jpeg
 
Nimekumbuka nliwahi panda mwendokasi mda umeenda kidogo..nkapanda gari Iko full..mi na mkaka mmoja kanizidi kimo tukajikuta tumesimama eneo la karibu na mlangoni cm chache tunatazamana uso Kwa uso mweh!
Dunga dunga hao , wenye magari mnakosa uhondo asee !! Sasa ndo umkute mrembo neema za Bwana zimemjalia yaan zigo 8Gb halafu kama kaamua kukususia basi baki nalo ! 🤣🤣🤣

Jesus see the people you died for 🤣
 
Back
Top Bottom