Nahitaji msaada wa mawazo tafadhali, mpenzi wangu ana mimba

Kifupi mmekutana vibofu watupu, wakati unamwona mwezi mchanga naye anakuona fala na anataka kukubebesha furushi. Mbwa kala mbwa
 
Kiukweli watoto wanateseka sana kisa tamaa za watu.
My man alikuwa na akili sana tulidate mda mrefu kidogo na katika kipindi hicho hakutaka mtoto na mimi sikuwa tyari kuwa na mtoto ambaye hatakiwi kwa wakati huo japo kuna kipindi nilitaka sana kuwa na mtoto na ningeweza kutega mimba ila niliangalia mrengo wa mwenzangu.

Tulikuja kuoana nikiwa na 28 years na ati 30 tukapata mtoto wetu maana baada ya ndoa kifatacho ni watoto.
Ni kweli kuna bahati mbaya ila nyingi zinaletwa na uzembe wa pande zote mwanamke hajali na mwanaume anaona ni kazi ya mwanamke kujilinda matokeo yake mimba zisizotarajiwa.Mnatesa bure watoto acha uzembe
 
Hayo ni Matokeo ya tendo la ndoa pambana kulea.

Umeyataka mwenyewe
 
Kwani kakwambia umuoe? Bado sijaona kinachokuvuruga!
 
Sometimes people Learn on mistakes.

Binadamu wengine wanashingo ngumu sana na wamekataa kutumia akili.
 
Hata yeye anakuona wewe mjinga kama unavyomona yeye😀
 
Sas si umkimbie unasubie nin au mshaur mtoe hio mimb make huna future naye.
 
Wakati mimi naona siku haziendi nmuone first born wangu october .kuna watu wana weweseka be calm man miezi 9 mingi sana utakua usha jipanga .mwichi uli uloweka mwenyewe wala uku shikiliwa afu usi mseme sana mama mtoto wako uyo[emoji81][emoji81]sawa baba kijacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…