Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

True brother,
Ni copy na ku paste tuu..
 
Kwanza kabla na mimi sijatoa ushauri wangu ningependa kukushauri jambo moja kwa hicho kiasi ulichokitaja ni hela nyingi sana unaweza ukaigawa hata mara tatu au nne kisha ndio ungetafuta watu tofauti tofauti wenye mawazo mazuri za biashara sasa hapo baada ya kuchuja na kuangalia yale utakayopenda kulingana na idadi ya mgawanyo ulioamua hapo unaweza kuingiza mitaji yako kwa kuigawa kwa asilimia kwa kila mradi kulingana na uhitaji wake. Hii itakusaidia kuepukana na kupata hasara kubwa au kupoteza mtaji wote kwa mkupuo pale ambapo itatojea changamoto au hasara kwenye mradi husika. Pili unapokuwa umegawanya mtaji kwa miradi tofauti itakusaidia kujua ni wapi panapohitajika kuongezewa nguvu na pia ni wapi panapohitajiwa kupunguziwa nguvu na hii itakusaidia kupata uzoefu na kujua mrad gani uusitishe kulingana na matokeo utakayayapata pia itakusaidia kuweza kuwajua watu sahihi wa kuweza kuendelea nao kwenye miradi mingine hata kama ile ya mwanzo haikufanya vizur.
 
Niwasaidie Vijana wazo..
1.Plastics recycling
2.Kubleach Mafuta ya Mawese (
3.Kufanya assembly ya Solar panels
4.Kukamua Miwa kupata Sukari guru
5.Kufanya assembly ya Pikipiki na Bajaj zisizotumia mafuta
Yes,mawazo kama haya ndo ninapenda kuyaona,mkuu hebu jazia nyama au njoo Pm!
 
Mkuu ingia Pm nipe wazo hilo la Biashara,nipo tayari kutoa pesa hata kesho kama wazo litakuwa linatekekezeka na Lina uhakika wa maokoto!
 
SIo kwamba unataka kuiba idea utokomee nayo?

Alafu hizo ideas ulizozikataa em nipe essay nini shida ? Ulishaaahi zifanya zote?
 
Ushauri wako nimeupokea Kwa mikono miwili mkuu,Ahsante sana!
 
Niwasaidie Vijana wazo..
1.Plastics recycling
2.Kubleach Mafuta ya Mawese (
3.Kufanya assembly ya Solar panels
4.Kukamua Miwa kupata Sukari guru
5.Kufanya assembly ya Pikipiki na Bajaj zisizotumia mafuta
Ufafanuzi kwenye 1 & 5 kuhusu mtaji na masoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…