Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

Mim naonaga wanaongea, ila duh kuja na new idea ni issue nen
Ni kweli kabisa ukiona mtu analeta idea na inaleta matokeo mazuri ujue mtu huyo nguvu kubwa ya kiroho watu hawa tunao wachache watu Hawa wao hawatafuti mafanikio wao huwa wanakamilisha mafanikio
Watu hawa huwa wanaleta mahitaji yanayohitajika sio mahitaji yanayouliziwa
 
Ni kweli kabisa ukiona mtu analeta idea na inaleta matokeo mazuri ujue mtu huyo nguvu kubwa ya kiroho watu hawa tunao wachache watu Hawa wao hawatafuti mafanikio wao huwa wanakamilisha mafanikio
Yah kabsaa, afu mara nyingi ni kwenye issue za technology, kuna mbunge hapa tz aliwahi kusema kuwa hapa bongo mabilionea wetu wataishia kwenye uwekezaj wa vinywaji na vyakula na uchumi wa nyumba, ila technology agusi mtu😅😅
 
Bahati mbaya mimi niko kazini serikalini mkuu,ningekuwa nimestaafu tungefanya kazi flani ila inabidi muda mwingi tuwe wote.
Ningekuleta kwenye biashara ya uyeyushaji chuma na kutengeneza vipuri mbalimbali vya viwanda vya kokoto,au viwandani(FOUNDRY)mimi ni mzoefu huko.
Tungenunua ,medium frequency induction furnace,kwa ajili ya kuyeyushia chuma,sema inahitaji muda mwingi kwenye utayarishaji mitambo..
 
Binafsi nina mawazo ya biashara ambayo nyingi ni biashara zilezile, isipokuwa kwa maeneo/wilaya niliyopo huduma/biashara hizo hakuna kabisa na uhitaji mkubwa unaonekana, hivo ni fursa. Na mpaka sasa natafuta mtu/partner ambaye yupo tayari kuwekeza, tufanye biashara. Uhakika wa faida upo sana kutokana na uhitaji niliouona kwenye maeneo husika kwa kipindi cha miezi kadhaa ya utafiti wangu. Kama utaridhia nipo tayari kuorodhesha biashara/fursa zote hapa wilayani, ni wilaya inayochipukia, hivo fursa zipo njenje.
 
kama unapenda kuwa na kiwanda unaweza Nunua mashine ya Kukamua mafuta ya alizeti kama wewe ni mwenyeji dodoma basi malighaf zinapatikana kwa wingi sehem za kogwa wananunua alizeti kwa wingi wakati wa mavuno zikiwa bado zina bei ya chini wanaweka stoo..! kwa pale mbandee njia panda ya kwenda kongwa kuna wazalishaji wawili uria sun flower oil na pelu sun flower oil kwa sasa wanafanya vizuri sana kwenye soko ingawa hawana muda mrefu
 
Bahati mbaya mimi niko kazini serikalini mkuu,ningekuwa nimestaafu tungefanya kazi flani ila inabidi muda mwingi tuwe wote.
Ningekuleta kwenye biashara ya uyeyushaji chuma na kutengeneza vipuri mbalimbali vya viwanda vya kokoto,au viwandani(FOUNDRY)mimi ni mzoefu huko.
Tungenunua ,medium frequency induction furnace,kwa ajili ya kuyeyushia chuma,sema inahitaji muda mwingi kwenye utayarishaji mitambo..
Hii kitu ndo nataka mkuu,hebu fikiria namna ya kuacha kazi tuwekeze nguvu huko mkuu
 
Back
Top Bottom