Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

Yah kabsaa, afu mara nyingi ni kwenye issue za technology, kuna mbunge hapa tz aliwahi kusema kuwa hapa bongo mabilionea wetu wataishia kwenye uwekezaj wa vinywaji na vyakula na uchumi wa nyumba, ila technology agusi mtu😅😅
Ndo maana mkuu Mimi napenda wazo lijikite kwenye Technology,huko kuna pesa!
 
Watu wana ideas ila hawawezi kuzitekeleza wawe matajiri wanasubiri mtu atangaze anatafuta idea wamuuzie 😅

Nchi za nje kuna platforms nyingi ambazo mtu mwenye wazo la ujasiriamali anawasilisha wazo kisha matajiri wanakubali kufinance wazo zima na watachukua faida kwa muda fulani kabla hajamuachia kampuni mwenye wazo.

Mfano Shark tank.

Ila bongo ni kuviziana Jamiiforums au siyo 😅😅 mabenki yanakopesha wasanii wanashindwa kudhamini ndoto za hawa wenye ideas
 
Hii kitu ndo nataka mkuu,hebu fikiria namna ya kuacha kazi tuwekeze nguvu huko mkuu
Hapana,kwa sasa ntakuongopea mkuu,na mimi sipendi lawama siwezi kukukabidhi kwa mtu,maana itabidi kwa uchache kujiweka sawa tutumie mpaka m200,ila tukikaa sawa,ni kuingiza hela tu,maana mitambo haiozi.VETA inayofundisha mambo ya foundry ni VETA MOSHI tu.
 
Watu wana ideas ila hawawezi kuzitekeleza wawe matajiri wanasubiri mtu atangaze anatafuta idea wamuuzie 😅

Nchi za nje kuna platforms nyingi ambazo mtu mwenye wazo la ujasiriamali anawasilisha wazo kisha matajiri wanakubali kufinance wazo zima na watachukua faida kwa muda fulani kabla hajamuachia kampuni mwenye wazo.

Mfano Shark tank.

Ila bongo ni kuviziana Jamiiforums au siyo 😅😅 mabenki yanakopesha wasanii wanashindwa kudhamini ndoto za hawa wenye ideas
Mkuu nipo tayari kununua wazo Tsh 50 milioni endapo hilo wazo likiwa na ufanisi wa Asilimia 98%,Jambo la Msingi ni makubaliano tu na mwenye wazo!
 
Hapana,kwa sasa ntakuongopea mkuu,na mimi sipendi lawama siwezi kukukabidhi kwa mtu,maana itabidi kwa uchache kujiweka sawa tutumie mpaka m200,ila tukikaa sawa,ni kuingiza hela tu,maana mitambo haiozi.VETA inayofundisha mambo ya foundry ni VETA MOSHI tu.
Mkuu hebu Tafuta siku na muda tuonane,kuhusu mtaji hilo Wala lisikupe taabu,nimejipanga mkuu!
 
k
Mkuu nipo tayari kununua wazo Tsh 50 milioni endapo hilo wazo likiwa na ufanisi wa Asilimia 98%,Jambo la Msingi ni makubaliano tu na mwenye wazo!
kama unaona breki za treni za TRL,au man hole cover,,ile mifuniko barabarani wanafunika mashimo ya mifereji ya maji machafu,au hammer za kubonda kokoto, impeller,impeller case za pump kubwa za viwandani,na vipuri vya viwanda vya miwa na cement..
 
Back
Top Bottom