Nahitaji mtu mwenye wazo la Kibiashara ambalo litatusaidia kutengeneza pesa nyingi

Kaa ukijua unavotaka kuwa super oriented katika biashara, ili ufanikiwe uwe mogul, usiwe mtu wa kuziepuka fursa ambazo zipo attached au zilizofungamana na kazi zako.
Mfano jifunze na upende usafirashaji, mawasiliano, hizi ndiyo big transformations factors katika ukuaji wa shughuli yako.....

Nina mawazo ya tourism innovation katika mtaji wako kwa maeneo yenye kasi ya Utalii nchini e.g Arusha, kilimanjaro and Zanzibar people are making cool cash out there..... hit up my PM if interested na tourism industry.
 
Mcheki jamaa mmoja anaitwa Mafwele, akupe kazi. Hizo kazi zake ukitaka kuwa tajiri ni dk 0
 
Hiyo Tsh 500m uliipate? Wafanyabiashara wakipewa wazo zuri wanalichukua na kum-dump mtoa wazo ,je kabla ya kupewa wazo kuna terms and condition za kisheria mtaingia? Na ulilikataaa then kwa nyuma ukalichukua na kulifanyia kazi yeye atajuaje?
 
Unakopa afu mwisho wa siku tako linajipitisha pitisha unahonga.
 
Mimi apaa njoo tuongee nmekosa mtaji tuπŸ₯²πŸ™Œ
 
Wabia wanapatikanaje mkuu? Naomba share platform yeyote ambayo naweza kupata wabia ndugu yangu ntashukuru sanaπŸ™
 
amani sana, uko makini.
 
Njoo tununue mlima wa mawe tuweke mashine za kupasua kokoto na kuchimba mawe natumaini wajenzi wote utawauzia na kupata super profit mpaka na wajukuu zako.
 
1. Materials testing laboratory kwa ajili ya ku test materials kwenye miradi ya barabara, nyumba, mabwawa etc (Materials Engineers wengine inabidi wapeleke samples South Africa kupima)

2. Olympic size swimming pool (Olympic Aquatic centre) ..Training centre kwa ajili ya ku train wana michezo wa uogeleaji kutokea East Africa yote na nchi nyingine...kutakuwepo na hostel kwa wanaotoka mbali....kiwanja na jengo lipo
 
Ila watu πŸ˜„
 
Siamimini katika degree naamini katika akili, kama una copy na kupaste basi hujue hujakomaa akili.
Siunaona sasa shida una degree ila akili unayo hata hujamuelewa tuaxhe kulopoka kama gatuna kitu tutlie tu πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…