Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
ππππππ Mzee wa kupambania niko naye πππππ atakuja sasa hivi. Poa MkuuSitumii hayo mambo mwanamama... labda ndugu yangu Bazazi na Mzee wa kupambania πππππΎ
LUgha zingekuwa zinabadirishana ungenipa french nikupe kiingereza.Kama niki faransa niko apa
Ngoja nisearch screenshots zangu now niweke ,kuna mwamba alimla mzungu kimasihara aliyejenga naye urafiki na kuja bongo kwenye hiyo app na kutoa machimbo na mbinu nyingine za kupata marafiki wazuri huko.
LolEven me looking for plactise someone.
If you also want me and you we make exercise.
Hizo hapo mimi nilisevu kwa matumizi ya baadae,
Aisee! kumbe mimi ni afadhali sana.Even me looking for plactise someone.
If you also want me and you we make exercise.
Even mbuyu start same like mchichaAisee! kumbe mimi ni afadhali sana.
Mimi kuanzia movies ,vitabu soft copy ,audio books,habari za ulimwengu,interviews za makocha na wachezaji ,documentary mpaka mawaidha huwa nafuatilia ya kingereza na naelewa vizuri mpaka najisahau kama mimi mbongo ila linapokuja swala la kuongea napapatika mno siwezi kuongea kama ninavyotaka.Hakuna mwalimu mzuri wa kiingereza cha kuongea kama movies, series na maudhui yote yanayotumia kiingereza.
Kwa kiingereza cha kuandika na kusoma basi pendelea mno kusoma novels, magazines na maandiko yote ya kiingereza.
Hata vikaratasi vya kwenye dawa wewe soma tu.
Ukiweka ni tag nduguNgoja nisearch screenshots zangu now niweke ,kuna mwamba alimla mzungu kimasihara aliyejenga naye urafiki na kuja bongo kwenye hiyo app na kutoa machimbo na mbinu nyingine za kupata marafiki wazuri huko.
Hakuna web based ndugu?Hizo hapo mimi nilisevu kwa matumizi ya baadae,View attachment 2529158
View attachment 2529159
Nb: Mwamba alisema weka profile zuri na maelezo mazuri , usisahau kuleta mrejesho kama zipo vizuri .
Hili ni tatizo la wengi hasa hapa Tanzania. Unaweza kuta andiko la mtu la kiingereza linavutia mpaka unajiuliza huyu mtu ni mTz kweli, kutana nae sasa mzungumze mwenyewe utachoka.Mimi kuanzia movies ,vitabu soft copy ,audio books,habari za ulimwengu,interviews za makocha na wachezaji ,documentary mpaka mawaidha huwa nafuatilia ya kingereza na naelewa vizuri mpaka najisahau kama mimi mbongo ila linapokuja swala la kuongea napapatika mno siwezi kuongea kama ninavyotaka.
Nimegundua cha kuongea kinahitaji mazaoezi mengi mno na watu wa kuzungumza nao mara kwa mara
maanaa cha kuandika ,kusoma na kusikikiza naweza kusema nipo complete 90% ila kuongea najiona nipo chini ya 50 kwa vile unaweza kupita hata miezi mitatu hata zaidi ya hapo nisipate mtu wa kupiga nae soga kimalkia.
Tatizo kubwa linalotuathiri watanzania likija swala la kuongea ni kutaka kuongea kama wazungu moja kwa moja. Ni kama vile tunataka kukimbia kabla hata ya kutambaa.Mimi kuanzia movies ,vitabu soft copy ,audio books,habari za ulimwengu,interviews za makocha na wachezaji ,documentary mpaka mawaidha huwa nafuatilia ya kingereza na naelewa vizuri mpaka najisahau kama mimi mbongo ila linapokuja swala la kuongea napapatika mno siwezi kuongea kama ninavyotaka.
Nimegundua cha kuongea kinahitaji mazaoezi mengi mno na watu wa kuzungumza nao mara kwa mara
maanaa cha kuandika ,kusoma na kusikikiza naweza kusema nipo complete 90% ila kuongea najiona nipo chini ya 50 kwa vile unaweza kupita hata miezi mitatu hata zaidi ya hapo nisipate mtu wa kupiga nae soga kimalkia.
Hiyo next timeKama niki faransa niko apa
Nakucheki mwanakwetu usijaliEven me looking for plactise someone.
If you also want me and you we make exercise.
PambanaMe i try plactise one day i talk like white peoples
Unanivunja moyo mzee, yani nimevunja kwa kutumia kamusi halafu unaliita yai vizaπ€£π€£