Nahitaji mtu/watu waku-practice kuongea naye Kiingereza

Ahsante kwa ushauri makini
 
Ngoja nisearch screenshots zangu now niweke ,kuna mwamba alimla mzungu kimasihara aliyejenga naye urafiki na kuja bongo kwenye hiyo app na kutoa machimbo na mbinu nyingine za kupata marafiki wazuri huko.
Can't wait
 
LUgha zingekuwa zinabadirishana ungenipa french nikupe kiingereza.
Najua kiingereza kuliko lugha mama!
By the way,
Je mapelle Rwazi.
Get in bro, unisaidie kupractice kuzungumza niwe fluent.
 
Timamu ni nini mkuu?
A word of advise to you, avoid engaging with people that will be a hindrance to your attempt at bettering yourself in the language.

There are some people who by some malicious reasons opt to discourage others in an attempt to hide their own ignorance.

Though I'm not a qualified teacher, I minored in English Literature in my olden studying days so I should be able to assist/guide you. Should you require any help, I'd be delighted to assist.

Best of luck on your journey.
 
Okay , just hit me up and i would be so happy to do it with you , look we can do it on skype , whatsup or messenger the choice is yours . Like what they say it only takes you 500 English word to become fluently in English but most of us we have more than 500 english words yet we can not speak English even for 5 min . Guess why ? The answer is simple practice is what we are missing . So let us start it today 😊😊😊😁
 

kuna site inaitwa language exchange…jisajili huko utapata wengi tu hao wenye kimombo chao
 
. kuandika ,kusoma na kusikikiza naweza kusema nipo complete 90% ila kuongea najiona nipo chini ya 50 kwa vile unaweza kupita hata miezi mitatu hata zaidi ya hapo nisipate mtu wa kupiga nae soga kimalkia.
Kwenye kuzungumza ndio ntiani
 
Of course, mifumo ya ufundishaji ndivyo ilivyo ikiwa na maana kwamba kuandika na kusoma ni passive ila kusikiliza na kuzungumza ni active. Tatizo linaanza mwalimu mwenye kuzungumza ntiani iyo mwanafunzi atazungumza kweli.
 
Tawire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…