Nahitaji mtu/watu waku-practice kuongea naye Kiingereza

We sema tu yeow yeow Konde boi ko mi namba wani baarreesa

Taratibu utaanza kujua na maneno mengine kama No mara waa na kukohoa kizungu Koh koh
 
Uzi ufungwe
 
Mkuu kama hutojali ni pm, maana kwangu inashindikana.
 
Well, how do we go about it!
I am not a good instructor though, am afraid.
May be you know what best you want.
Grammar? Vocabulary? Semantics?
I don"t even know your level of multilingualism!
Nakubali
 
Ahsante mkali adriz nakufuatilia kwa ukaribu
Pamoja sana ,kuna app moja nyingine nilijaribi nimeifuta coz wao wanakupa sentesi kisha unatamka wanakupa marks na kutoa marekebisho , unakuwa unapanda daraja kwa kila unavyofanya vizuri na kuletewa sentesi za kuchanganya zaidi , ili upate kifurushi zaidi cha live mpaka ulipie nikaona upuuzi nikaifuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…