Binti mbona umri wako bado mdogo sana unataka kujibebesha mashaka ya dunia,mie dadako niulize raha na tabu ya ndoa ntakwambia kwa sasa sikushauri kama unauwezo endelea kusoma nakufanya kazi na huko huko mbele ya safari utampata
lakini vigezo punguza kama huyo huwezi kumpata labda ukamchukue muhimbili ulee mwenyewe.