Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Sasa usimnyime mtoto Ila usimpe majukumu
Akiamua mwenyewe kuhudumia ahudumie akiacha aache kuliko kukata kabisa inamadhara Sana kwa watoto
Nakazia ✍️✍️
Hata maneno tu ya baba kwa mwanaye yanakuwa na athari chanya kwa mtoto.
Ni ukatili mkubwa kumnyima mtoto access kwa babaake kama huyo Baba yupo hai. Kuna vitu atakosa!
 

Ng’ombe kweli.

Hao unaoshirikiana nao si wakupe mimba. Ya nini mwanaume wakati umeshajipambanua kama mpenzi wa jinsia moja!?
 
Niko tayari
 
Mkuu unafikiri huu ushauri ni mzuri kwa kiumbe kitakacho kuja kuzaliwa? vp mtoto akija kuuliza kuhusu Baba yake yuko wapi?
Kiukweli mtoto atakuwa hatendewi haki.
Jibu linaweza patikana hata akiamua kumuua mzazi mwenzie kwa maneno. Ingawa si haki pia.
 
Sasa kama hutomlipa yeye atafaidika nini? Nani mjinga wa hivyo aache mtoto nje na asijue maendeleo yake?

Kajitege wanapokaa wanawake wanaojiuza ktk hizo siku zako za hatari ndio utakutana na wanaume ambao hatokuwa na mawasiliano na ww wala mwanao na mimba atakupa
 
[emoji4][emoji4]
 
Kiukweli mtoto atakuwa hatendewi haki.
Jibu linaweza patikana hata akiamua kumuua mzazi mwenzie kwa maneno. Ingawa si haki pia.
Huyu anayetaka mimba pia atakuja kujuta huko mbeleni kwa mtoto kutokumjua Baba yake,huwezi kujua huyo mtoto atakuja kua nani.
 
Nenda brothel karibu na wewe huko tunaachaga mbegu za kutosha.
 
Huyu anayetaka mimba pia atakuja kujuta huko mbeleni kwa mtoto kutokumjua Baba yake,huwezi kujua huyo mtoto atakuja kua nani.
akikua akawa na akili timamu akamtafuta baba. Na akaja akajua mama alifanya kusudi kumfichia baba bila sababu za msingi unafikiri atamchukuliaje mama ake?

huyu atakuja kujuta.
 
Ng’ombe kweli.

Hao unaoshirikiana nao si wakupe mimba. Ya nini mwanaume wakati umeshajipambanua kama mpenzi wa jinsia moja!?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1][emoji38][emoji38][emoji38]nna huzuni ila mmecheka apewe na anaoshirikiana nao
 
Naturally hakuna mwanaume mwenye akili timamu atakayekubali kuacha mbegu na damu yake kwako. Hakuna.
Na hakuna kitu kinachoitwa mtoto wangu peke yangu kwani biologically mtoto ni product ya two different sexes.
Bond ya mtoto na baba ni unbreakable na huyo mtoto akikosa mzazi mmoja ni lazima awe mentally unbalanced. I pitty the unborn.
Reality na Nature ni unbendable na hauwezi kuvibadilisha otherwise consequences zake ndio kama hizi.

Atakayekubali kuacha mtoto wake ni lazima awe some poor desperate loser.
Mwanaume mwenye akili timamu anataka mwanamke mwenye akili timamu vilevile.
Naked truth of reality.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…