National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Kigezo cha akili ndio kimenichomoa πππ alafu Lesbian sio wa kumuamini unaweza maliza nae akataka kukufanya ndio baraa litaanzia hapo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]fursa hiyo changamkia
As long as una akili timamu. Tena jitahidi umjaze mapacha kabisa
[emoji38]Kigezo cha akili ndio kimenichomoa [emoji1][emoji1][emoji1] alafu Lesbian sio wa kumuamini unaweza maliza nae akataka kukufanya ndio baraa litaanzia hapo
Sijakidhi vigezo vyakeMshana Jr nakuaminia, chukua wewe hii kazi.
Maelezo yako yanapingana..!!! Mara useme yeye ni mwanaume, halafu ghafra uliyemwita kuwa ni mwanaume unamtaka aende sperm bank ya Muhimbili akawekewe sperms..!!Wewe ni mwanaume umeamua kuja na I'd ya kike ili kuwachora wanaokufata PM.
Muhimbili Wana bank ya sperm donor kwanini usiende uko?
Ngoja nakutafutia lakini whatever the case ikitokea ukampata mtu wa vigezo na masharti yako bado ni vema ukawa na kumbukumbu zake ama hata za ndugu zake kwakuwa hatujui future itakuletea nini.. Kuwafahamu ndugu wa baba mtoto ni hakiba ya baadaeAhsante sana Kaka angu Mshana kwa ushauri mzuri wenye maneno ya busara na tone ya upole,
Najiombea sana na mimi jambo langu lifanikiwe lakini kama hutojali hata kwa PM unitajie hizo taasisi zinazouza mbegu niwatafute kama nitamudu gharama zao
Kama umri wewe shusha na kupima hata uviko pima, mbushushu ya bure.Sijakidhi vigezo vyake
The timing is impeccableHaya sasa mzabzab mbengo zemefongokaaaa
Haya mambo hayahitaji udanganyifu hasa kwenye situation kama hii..Kama umri wewe shusha na kupima hata uviko pima, mbushushu ya bure.
Ila kama ni kweli ni bonge la changamoto.Haya mambo hayahitaji udanganyifu hasa kwenye situation kama hii..
Unajuwa kuwa wapo wanaokana mimba?Yan ata kichaa hawezi kufanya unalotaka, yaan nikuachie damu yangu alafu nisijihusishe wala kujua mwanangu anaendeleaje??? Sio kweli.
Wanasemaga hivi baadaye mwanaume unaingizwa choo cha kike. Utajuta. Ingia mkenge home!Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,
Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,
Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,
Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,
SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu
2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)
3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana
4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha
5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu
6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano
7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya
SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu
2. Lesbian
3. Ready kua Mama
4. Umri miaka 28
5. Nipo Dar es salaam
NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.
Mawasiliano yawe PM.
Natanguliza Shukrani.
You are absolutely right [emoji117] [emoji857][emoji857]Yani kwa masharti hayo nikajua kuna donge nono[emoji39]what is in for my sperms, huyo ni sperm donor bibie unatakiwa umlipe.
Yan umeandika kwa kujiamini sana kumbe unataka huduma for free[emoji1787][emoji1787]
Either way anaeweza kugawa sperm zake under that circumstance ni kichaa tu na ww umesema awe na akil timamu.