Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Ukipata mchaga ni lazima baba wa mtoto ajulikane ili Mila iwe sahihi kwa mtoto. Nakushauri piga teke usagaji ili uishi katika maisha ya ndoa.
Ngumu sasa kutoka lesbian yaani kishakuwa addicted.
 
Napenda watoto, niko tayari kukusaidia kulea, niko tayari mtoto wangu asome shule yoyote nzuri, but siko tayari kuacha mtoto wangu
 
Njoo PM nakusubr [emoji41]

Sent from my Infinix X608 using JamiiForums mobile app
 
Mbegu za bure zinapatikana kwa vichaa tuu.

Na kwa vile kati ya watanzania 4 mmoja ni punguani basi huwezi wakosa.

Yani mtu mwenye akili zake timamu ukampimishe mavipimo, umpime mbegu kama ziko viable, kisha akakuwekee mbegu just for free?[emoji1787] Hizo zitakuwa akili ama matope?


On top of that hata huyo mtoto umnyime access naye? Like seriously? Just for free?

Bora hata ungesema mtoto atakuwa wenu wote, hata kama baba hatachangia malezi wewe utakuwa responsible but hutamnyima access ya mtoto.
 
Mnapopigaga puli huwa mnalipwa?
 
Mbegu hazina cha umri! Nashauri uolewe tu uachane na maisha ya Lesbinism ili upate mwenza wa kuwa karibu na wewe.Tena unaweza kumpata mwanaume ambaye atakujali kuliko unavyofikiri.
 
Wewe mkata bamia acha kudandia gari kwa mbele, utaukwaa mtumbwi wa vibwengo wewe endelea tuu.

View attachment 2370480
Usikariri kwamba kila wakati gari inadandiwa kwa nyuma..!! Inategemea kama linarudi nyuma au linawenda mbele..!!! Kama linarudi nyuma unadandia kwa mbele, na kama linakwenda mbele unadandia kwa nyuma..!!
 
Mwanaume ukitaka kutesa damu yako maisha yako yote kubali huu ujinga aisee damu itakulilia kumbuka maisha yanabadilika wazungu wametuharibu sana kofolomondo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…