Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
alooo mi apana kwailo japo mbeg zang nazimwaga bafuni mtoto angekua anaweza nijua apo sawa nikupe copy mi n hendisamu sana
 
Labda kama sio mimba hizi nnazozijua mimi
Za kunywa folic acid,ferrotone mara uambiwe bed rest mara itishie kutoka mara usikie unakabwa kooni na mtoto
Sometimes unatamani uende sheli ukanuse harufu ya petroli usiku wa 8 nakwambia hivi mariposa mwenyewe utampigia baba kijacho aje akusaidie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na huo ukaribu hutaweza kuukwepa mana kuwa peke yako yatakushinda!
Mimba sio mchezo mama,tena ikikukataa mwanzoni ndo utaomba na baba kijacho akuoe awe anakufariji kwa ukaribu!
Tasha mbona unanitisha hivyo,
Ila wanasema hizo mbwembwe huwakutaga wamama mijengo mbona House girls na Wanafunzi hawawi hivyo
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

5. Nipo Dar es salaam

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.


Natanguliza Shukrani.
Badala ya kutaka mtoto nilidhani ungeweka juhudi uondokane na tatizo ulilo nalo la kuwa na spiritual husband/wife unahitaji deliverance huwezi kuondoa hili tatizo kwa akili zako za kibinadamu ndugu..hata tu ujasiri wa haya unayosema ni ujasiri wa kipepo!
 
Tayari msimu wa Swala kuwakimbiza Simba umefika

Mambo yameshika kasi
 
Huu uzi ni ndugu na
 
Hayo maombi yako yarudi kwenye kizazi chako cha sasa hadi cha tano.
I and my family we are protected by the blood of Jesus, too late for your stupid wish.
You introduced yourself as a lesbian so what do you expect.
I told you the truth so don't run away from it because it is what it is.
 
Ukihitaji na wa kumzibua masikio mwanao utani-check.
 
Ila mtoto awe wako peke yako hii ndio ngumu kumeza.

Lazima mtoto wangu anitambue na nimlee

Yaani mtu kama wewe nakutia Mimba halafu tutapelekana kuanzia ustawi wa jamii, Mahakamani ikishindikana naenda kushitaki kule Mbangani kwa Babu zangu halafu tuone kama dogo utamfaidi na kumfurahia kwenye maisha yako.

Baada ya kusoma hapo, ikiwa upo interested nicheki pm ila hiyo tabia mbaya pia ukubali kuacha

Elimu CPA, Msc A&F, BAC
 
Nimekuelewa na mimi nimefikiria hivyo hivyo.
Subiria muendelezo.
Jf imepitia mengi mno.

Ulishawahi kusoma kisa cha BOSSLADY?

Story ilikuwa tamu na picha za kuvutia, wanaume tukachachawa kumbe bosslady ni dume[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ashukuriwe Maxence Melo aliziunganisha ids ndio ikawa pona yetu
Ninaamini witnessj atakumbuka kisa hiki
 
Habari dadangu, Mimi naitwa Robert ninavigezo vyote ulivyo vitaja na nipo tayari kuzaa mtoto na wewe. Kama jinsi ulivyosema kwenye Uzi wako. Na tukishaa zaa mtoto kama ukitaka tumlee wote ni sawa ila pia kama utamlea pekeako kama ulivyosema ni sahihi pia. Elimu yangu ni Msc. Degree. Kuhusu kazi nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara. Ninaishi Kigamboni Dar es salaam geza ulole block 16. Ndio nyumbani kwangu. Nipo tayari kupima afya na hatua zingine zote ulizozisema kwenye uzi wako. Umri wangu ni miaka 36. Karibu dadangu. I am looking forward to hearing from you.
Proposala tayari mtoa mada ushindwe wewe tu
 
Unahitaji mwenye akili timamu haliyakuwa na wewe unahitajika ukapimwe akili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom