Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

Status
Not open for further replies.
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

5. Nipo Dar es salaam

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.

Natanguliza Shukrani.
All the best dada
 
Unavyoupamba huo u lesbian waona sifa. Nenda kaombewe hilo jini litoke uolewe ujenge familia.
 
Yani kwa masharti hayo nikajua kuna donge nono[emoji39]what is in for my sperms, huyo ni sperm donor bibie unatakiwa umlipe.

Yan umeandika kwa kujiamini sana kumbe unataka huduma for free[emoji1787][emoji1787]

Either way anaeweza kugawa sperm zake under that circumstance ni kichaa tu na ww umesema awe na akil timamu.
We unamuona mwenye akili timami akaandika upumbavu kama huu? Anajiamini kiseng* halafu anataka free sperm donation?
 
Uchumi wa mama ukiyumba,
Hakuna rangi mwanaume utaacha kuona
Itapigwa u-turn ya Nguvu Sana utabak mdomo wazi
Hii imewahi kumtokea rafiki yangu. Mwanzo aliambiwa kuwa hatahusika na chochote. Sasa anasumbuliwa mpaka kero na ana familia yenye watoto watatu ya kuwatunza. Huo ni mtego. Anaweza kupata mtoto kwa kuasili (kuadopt) sio lazima azae. Sijui kwa nini njia hii wengi hawaipendi
 
Mwanaume mo
Pumbavu na asiyeelewa thamani ya damu yake ndio anaweza kukubali huu ujinga.

Uagonge mwanamke ili azae shoga mtarajiwa, yaani huyo mtoto mtarajiwa lazima awe shoga, nani anataka mtoto wake kuwa shoga. Labda awe hamnazo kichwani.
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji mwanaume wa kunipa ujauzito kwa makubaliano kua huyo Mtoto atakua wa kwangu peke yangu,

Niliwahi kuja hapa na kutoa ushuhuda kua ninajihusisha na mapenzi ya jinsi moja, nilipata shauri mbali mbali wengi walinambia niende kanisani na wengine walinambia niolewe nizae,

Nimefata ushauri wa kuzaa lakini sikua peke yangu kwenye shauri hilo niliwashirikisha familia kua sitaki kuolewa lakini nataka kuzaa ilikua vuta nikuvute hatimae wakakubali,

Ninazaa sababu napenda watoto na umri unaniruhusu lakini sio nazaa ili nibadilike hivi nilivyo au niweke mwamvuli kwa jinsi nilivyo HAPANA,

SIFA ZA MWANAUME WA KUZAA NAE:
1. Awe na Akili Timamu

2. Awe tayari kupima Magonjwa yote ya Zinaa na mbegu zake kama nzima (tutaenda hospital pamoja)

3. Asiwe busy sana sababu nataka awe focused na kunipa ujauzito zile siku zote za upevushaji tutakazokutana

4. Asinipende na kutaka kunifanya girlfriend wake mara aje na sera za kutaka ndoa sijui kunibadilisha

5. Asiniombe Pesa kwenye jambo hili, kwani mimi nitakua nina safari ndefu ya kulea Mtoto siwezi kununua mbegu

6. Azingatie Mimba ikiingia mimi na yeye tunakata mawasiliano

7. Umri usizidi miaka 40 sitaki Mtu mwenye changamoto zozote za kiafya

SIFA ZANGU:
1. Nina Akili Timamu

2. Lesbian

3. Ready kua Mama

4. Umri miaka 28

5. Nipo Dar es salaam

NB: Sio lazima uwe wewe Mwana Jf unaweza kua na Ndugu au Rafiki ukatuunganisha.

Mawasiliano yawe PM.

Natanguliza Shukrani.
Kwa masharti hayo hutapata mtu mwenye AKILI timamu. Njia pekee ukitaka mends mkoa ambao hufahamiki jilengeshe kwa mtu kama unavyojua Hakuna Mwanaume anayekataa mzigo WA Bure. Then Mimba ikishaingia hama rudi kwako badili line Umemaliza
 
Wewe bora usizae tu!! Manake unaongea kwa misimamo ile ile ya kilesbian lesbian!! Kiufupi huwezi kutoka huko ulesbianini!! Huyo mtoto atakuwa either shoga au lesbobo mtarajiwa! Ni bora ukabaki hivyo hivyo na ulesbobo wako kuliko kumuingiza kiumbe asiye na hatia kwenye huo ulimwengu wenu!! Endelea tu kusuguana na wenzio,sio kila mwanamke anaweza kuwa mama!! Tulia huko huko kwenye ulimwengu wako!
Anaongea kibabe na kwenye mahusiano yake ya lesbianism atakuwa yeye ndio Mwanaume. Maana yuko masculine sana
 
sasa mimi nitafaidika na nini au ule utamu tu wakati tunagegedana?

nikupe mbinu ukitongozwa kubali kwa shart na kwenda kupima maradhi kwanza. Halafu ww binafsi weka mazingira yako ya kupata ujauzito. halafu ukiupata kata mawasiliano. na hata akijua simple tu unamwambia kuwa huu si ujauzito/mtoto wako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom