Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

Status
Not open for further replies.
Never never never πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎwa io miaka tulshamalza kusoma kitambo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Una nini wewe....
Tafuta sababu nyingine ya kumkataa mtu ila hapo umenikosa...
Ulianza ufupi...
Sasa umekuja umri
Bado bado sijui useme kingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sis

Sijui kwa nini lakini nahisi kama vile kuna kitu hakiko sawa mahali fulani. Kwa mbali sana nahisi kama binti mpweke ambaye hajipendi sana na ambaye pengine, kutokana na shida za kimwili na hata kihisia, keshaanza kujikatia tamaa. Kama niko sahihi hata huyo mtoto utakayempata anaweza asikupe faraja unayoitafuta hasa mambo yakienda ndivyo sivyo (mf. ukaishia kupata deadbeat baby daddy, mtoto kuwa na matatizo n.k). Faraja, ridhiko na umaana wa maisha ni vitu vya ndani na kimsingi huwezi kuvipata nje kama ndaniyo kuna ombwe la kiutambuzi, kinafsiya, kimwitikio na hata kisaikolojia.

Kama inawezekana jaribu kutulia kwanza. Kama itakupendeza pata mtu anayekuelewa vizuri na unayemwamini halafu uongee naye kuhusu hili wazo lako. Mtu wa ushauri nasaha wa mambo ya ndoa na mahusiano; na hata mwanasaikolojia ingesaidia zaidi. Nyote muangalie utayarifu wako (na huyo atakayekuwa mzazi mwenzio), faida na hasara za uamuzi huu na kama kweli ndicho unachokitaka kwa sasa. Utakuja kushangaa baada ya session chache tu za therapy unagundua kwamba yote haya yalikuwa ni zao la mihemko ya kihisia iliyochochewa na upweke, desperation, kunyanyapaliwa, kuumizwa na sababu zingine za muda tu.

Vinginevyo ngoja nikutakie kila la heri ili Mungu Aweze kukutimizia hitaji lako kama kweli hicho ndicho unachokitaka. Ukitaka kuongea zaidi kuhusu hili suala njoo PM.

UBARIKIWE πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Una nini wewe....
Tafuta sababu nyingine ya kumkataa mtu ila hapo umenikosa...
Ulianza ufupi...
Sasa umekuja umri
Bado bado sijui useme kingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huna pesa we mwanafunz badoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚apo vip m nshapgika kitaa nalea kabsa,,we ushawah itwa baba,🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nimeutazama uso wako!

So sad,huna furaha kabisa,umekauka Hadi moyo,sidhani kama hata unaweza ku be stimulated kunako Kwa bed!

Umekata tamaa sana!

Mwenyezimungu ndio mpaji was vyote,muombe yeye atakupa mtu!!Amka usiku wa saa SITA hadi saa tisa,muda ambao mbingu na kuzimu zipo wazi!mwambie umechoka upweke unataka mtu was kudumu atakaekuletea tumaini na furaha maishani!!

Lakini hiki unachitaka kufanya hapa utapata tatizo jingine kubwa zaidi!sio kila mwanamme ni WA kuzaa nae!!!nakwambia japo na Mimi ni me!sio kila ukoo ni WA kuzaa nao!!Kuna watu ni nusu pepo nusu binadamu hawana huruma kabisa!!

Mwanamme mzuri ni yule ambae anaweza kuachilia hata Mali zake familia wakatumia hata pale mahusiano yanapokwama mbeleni!!!

Uanaume ni kazi ngumu sana!usije dhani ni rahisi sana kihivyo!!!

Rudi Kwa mwenyezi kwanza!trust me hiyo method naitumia it works aiseh!try it!
 
She speak from her heart,so touching nakuombea utakaempata asikuumize kwa uhitaji huu
 
Huna pesa we mwanafunz badoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚apo vip m nshapgika kitaa nalea kabsa,,we ushawah itwa baba,🀣🀣🀣🀣🀣
Kuitwa baba bado nasubri weww uniite hapa ""dady dady""
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umeemuliza kwanza huyo mtoto unaetaka kumleta anataka nini? au unataka na mtoto nae aje na uzi wake hapo baadae!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…