Nahitaji mwanaume wa kuzaa nae

Status
Not open for further replies.

-naomba malezi ya mtoto yabase kote kwenye pande zote mbili.muda,kujali,nk
- hata ukiingia kwenye mahusiano au ndoa haina tatizo usimsahau mwanao.

Mengine mengi tutajuzana na muhusika

Niko tayari kurekebishwa na kukosolewa kuhusu mawazo yangu.
Pole sana kwa jweli, ninakuineq huruma kwa namna ulivyoelezea..Mungu akusaidie upate ufumbuzi wa changamoto hiyo
 
Hee pole..
Humu jf watakutukana hapa bure bure ila pm itafurika furifuri

Anyway ukipata wengi unipasie mmoja😝
.
Fake P upo honeymoon huonekani humu
 
Na mimi nahitaji mtoto. Je uko wapi?
Je una umri gani?
Je to what extent are you serious?
Note:
1.Call me now.
2.Committment statement: I have reliable financial resources to take care of my kid(if any).
 
Imeandikwa itafika mda wanawake watawatafuta wanaume kwa shida sana duh Allah naaomba uniweke niyatizame maandiko yakitimia
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yangu si unayo tumia ioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi nakutafuta unasema poor brain yupi khaaa...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Jamani nililia sana mweeeh
 
Mi nakutafuta unasema poor brain yupi khaaa...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Jamani nililia sana mweeeh
Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…