Nahitaji sana kuoa walimu wa kike hasa wa sekondary au hata primary nitawapataje?

Ukifanikiwa usinisahau kwenye ufalme wako.

Naambiwa tulipelekwa lupango pamoja. Mbona sikukuona gerezani?
We si ulikuwa gereza la wanaume!!
Siku ile tulisombwa wote babu.
 
Tengeneza wako Mkuu sahivi wanatumika kweli hata ukioa
 
Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
Mbona unasema wa kike INA maana hata wa kiume huolewa?
 
Mi ni mfanyakazi nimeajiriwa pia ni mhandisi,imefikia umri wa kuwa na mwenza nahitaji sana binti wa kuoa ila awe mkristo msabato,lutheran etc ,kama yupo pls ani pm ila awe serious na asiwe aliyekwisha tumika sana age nzuri ni 19-26
 
Attachments

  • 10382736_748237478561514_7259013765052077992_n.jpg
    50.2 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…