Nahitaji ushauri kwa mtaji wa 40 milionI

Na mimi mmoja wao [emoji1]
Kila fursa nimo
Nilipeleka ngano Iraq na vita imekolea

Tatizo humu watu tukiwapa code za michongo ya pesa wanaona tunafanya jokes [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mimi nina bro angu huyo ni muabeshi anaingia front anapiga mpunga sio wa kitoto, nyumba yake km kanunua mtaa, kutoka kwenye geti unachezea kilomita ndio unafika alipo!! Hii bongo kuna watu wana mawe bro [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hadi hapo umefeli,huwez fanya biashara usiyo ijua,chukua 38 ml weka utt,Zen tafuta biashara ndogo unyiweza ifanya wewe mwenyewe ukiwa unajiiba ukiweza maintain hiyo hela na ukawa na faida ya nusu ya mtaji au zaidi haijalishi kwa mda gani utakuwa angalau umeiva ndo utajua unafanya nin, biashara sio mtaji tu ukiweka mtaji wote huwez jua wapi unakosea mpaka itokee siku unazinduka ukiwa umefilisika,biashara inahitaji uvumilivu, commitment na kujikataa na uifaham vizuri ni wachache wanaoweza kuweka mtaji wote na kufanikiwa
 
Bahati+ ujanja + mbinu lazima utoboe
Halafu usiwe na isirafu
Ipende hela ikupende hii ndio kauli mbiu yangu

Ila kama hela ukiifanya adui kila unapoipata unaimaliza nayo itakukimbia tu

Mimi nina urafiki wa karibu na hela

Ukitaka uwe nae urafiki na hela we save tu ili wakutane mfukoni mbona watakupenda [emoji1] [emoji1787]

Mtu anapokea tu hela mbio bar hataki urafiki kabisa na hela [emoji1]
 
Mkuu Mkuuu nakuomba sana usisahau kunitagi katika Uzi wa ku bet
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu ipate kwanza hiyo hela uwe nayo kabisa alaf tutafute sehem tulivu nikupe ushauri wakati huo tunasubiri mtu wa jikoni achome kuku awe wa brown kuku wangu sitataka aungue sijui wako unapendelea aweje
 
Lini utaleta hilo bandiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…