Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Okay.
Je meditation haiwezi saidia ukapata solution?
Meditation Inahitaji Utulivu wa Nafsi na hata mwili uwe umetulia..

Kwa sasa Siwezi kwa sababu bado nafsi inateseka hasira,Huzuni na hata Majonzi na machozi yananisonga..

Naumia sana na natamani nikipata Utilivu wa Nafsi nifanye ila Napata hasira na maumivu makali sana yanayofanya namiss Concentration
 
Ni kweli Kabisa Mkuu Hivi mama Dkt. Gwajima D hawezi kunisaidia au hakuna Sheria "Kama kweli amebakwa" za kufuata..

Na kiukweli Mkuu Nilikuwa Ninamwamini sana Mke wangu kwa sababu nimekuwa naye kwa muda mrefu kwenye Ndoa kama miaka 8 hivi
 
Fuata ushauri huu,huu ndio ushauri mzuri.Na wala usilete kumbukumbu tena moyoni mwako.
Mkuu Tatizo kumbukumbu Kuiondoa Ni vigumu sana na Tayri Doa lipo moyoni..
Natamani kuufata huo ushauri ila naumia sana hata nikiona simu yake
 
Kama ni hivi basi mchepukaji. Kikubwa fungua moyo msamehe ila mpe likizo akajifunze akirud hata rudia. Lakini pia fanya mpango muishi pamoja ujue hainywagi uji ile. By the way wewe huko miezi yote mi5 hujachuja mkuu?hujachepuka
 
46yrs, you can not make decision?
 
NB. Umenifungua macho sana kwenye issue ya meditation, kama umeweza kuitumia kutambua tatizo lililokuwepo na ikawa kweli, je, meditation haiwezi kukupa solution ya tatizo linalokusibu?
Inaweza Ila tatizo ni Concentration Mkuu!
Mwili Nauhisi Umejaa hasira, Majonzi na kukata tamaa..
Mwili hauko kwenye Utulivu na hata akili Inawaza vitu Vingi dots Nyingj zinajiconnect nikiwa Peke yangu..naumia sana..
na hii hali ya kukosa Utulivu Haifai kwenye meditation
 
Wanaobakwa ni watoto na wanafunzi.

Miaka 34 habakwi ila anaichomeka mwenyewe..

Tena anaikatikia na mauno kabisa.
 
Pole Sana .

Ila naomba uni-pm nikupe insight hilo tatizo lako ni Dogo Sana .

Sio tu mapenzi yanasumbua kuna mambo mengi unapitia hayapo sawa in ur life
 
Kama ni hivi basi mchepukaji. Kikubwa fungua moyo msamehe ila mpe likizo akajifunze akirud hata rudia. Lakini pia fanya mpango muishi pamoja ujue hainywagi uji ile. By the way wewe huko miezi yote mi5 hujachuja mkuu?hujachepuka
Hapana Sijachepuka Mkuu Nipo Kikazi zaidi na mawazo mengi huwa Ni kazi Mimi bi very Loyal na ndo maana Imeniuma Sana..
 
Usiache hayo maumivu ukae nayo muda mrefu, yatakuletea matatizo mengine kiafya hasa kwenye upande wa nerves, jitahidi kadri uwezavyo usahau hilo tatizo lililokupata, na best way ya kusahau ni kusamehe, sio kuacha, ukizidi kuwa mgumu wa kusamehe basi fahamu ndivyo utazidi kujitesa kwa mawazo yasiyo na mwisho, baadae uanze kuhangaika kutibu magonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…