uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
We must all suffer from one of two pains
The pain of discipline or the pain of regrets
Hajabakwa uyo
The pain of discipline or the pain of regrets
Hajabakwa uyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meditation Inahitaji Utulivu wa Nafsi na hata mwili uwe umetulia..Okay.
Je meditation haiwezi saidia ukapata solution?
It doesn't matter boss, mean ofisini mlango ulifungwa akakubali kupikwa bila shida yoyote mchana kweupe .Ni hizi za Mitaani hapo Tabora Hazina Camera
Sijamaliza kusoma ila unatudanganya ujue miaka 46 wewe sio kijanaIKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46.
Na mke hajabakwa ameliwa tuMiaka 46 sio kijana
Ni kweli Kabisa Mkuu Hivi mama Dkt. Gwajima D hawezi kunisaidia au hakuna Sheria "Kama kweli amebakwa" za kufuata..Pole sana. Inaonekana ulikuwa unamwamini sana mke wako. Tuko wengi tuliopitia haya mambo. Sema wewe ulitakiwa usiwe na papara, unyate mpaka uwakamate. Ushauri wangu: Mwambie huyo mke wako aende polisi akatoe habari na anaseme kuwa alitishiwa maisha ndiyo maana akaogopa kufanya lolote. Bila shaka kwa Tanzania, itakuwa ngumu sana kuthibisha huo ubakaji, ila utakuwa angalau ''umemtingisha'' huyo mla mali za watu. Na kama ana mke, fanya mpango mke wake ajue. Ukienda polisi jiandae kuwa na fedha ya kuhonga na mbaya zaidi kama huyo jamaa ana fedha zaidi yako itakuwa kesi ngumu.
Mkuu Tatizo kumbukumbu Kuiondoa Ni vigumu sana na Tayri Doa lipo moyoni..Fuata ushauri huu,huu ndio ushauri mzuri.Na wala usilete kumbukumbu tena moyoni mwako.
Kama ni hivi basi mchepukaji. Kikubwa fungua moyo msamehe ila mpe likizo akajifunze akirud hata rudia. Lakini pia fanya mpango muishi pamoja ujue hainywagi uji ile. By the way wewe huko miezi yote mi5 hujachuja mkuu?hujachepukaHaikuwa Rahisi Unajua mwanaume Ukitaka kumbana Msichana sio Kazi kubwa..
Nilijivika Confidence Kubwa sana ya Kumuaminisha nimeambiwa matukio Mengi sana kuhusu Yeye Na watu Wa hapo Mtaani na wao wameelezwa na walioyafanya..
Confidence niliouliza nayo Ndo iliyomshangaza Sikutaka kuuliza kama mtu anayetaka Uhakika Ila mtu mwenye Uhakika na analalamika kwa nini Amefanya hivyo..
Na unajua sisi wanaume huwa tunasoma Reaction zako Kipindi unajibu Maswali na Hapo ndo niligundua..
46yrs, you can not make decision?Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile..
IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46.., Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu Ukabidi Niende Dodoma kama miezi mitano au sita Ilopita Na yeye Nikamuacha Tabora..
Tulikuwa tunawasiliana Vizuri tu na kuna kipindi Ilitokea Shida kidogo mwezi mmoja baada ya mimi Kuondoka, Kulitokea Hitilafu Kwenye Ujenzi tunaofanya hapo Kahama kwakuwa nilikuwa mbali na yeye Ni mfanyakazi wa Serkali nikamuomba akakope Pesa Kiasi halafu nitakuja Kufidishia (Ndiyo Tinavyofanya siku zote)...
Kama Jukumu likiwa la kwangu na yeye akiwa na means ya kufanya bhasi anafanya Mimi naandika deni..
Kwakuwa Benki walikuwa wanachelewa Ikabidi aende kwa wanaoacha Kadi..akafanikiwa na kupata pesa na kila mwezi akawa anakatwa pesa zake na alikuwa anafata kiasi kinachobaki hapo ofisini..
Wiki Moja kabla nikawa Nahisi Kama Kuna uwezekano Mke wanhu ananisaliti (Mimi ni mtu wa Kufanya Sana Meditation Hivyo Hisia zikinijia bhasi lazma nizifanyie Meditation Kwa siku angalau mbili na huwa napewa clear Picture)..
Kipindi nafanya Meditation nikawa naona kabisa Mke wangu ananisaliti sasa Baada ya miezi minne kuondoka huko Nikawa namuuliza Huko ni salama mbona kama kuna kitu kibaya unafanya jibu lake hakuna shida yoyote..
Guyz huyo jmaa wa Microfinace simjui na Sijakutana naye ila kuna kitu kikawa kina niambia Nimuulize Wife na nimkazanie kuhusu Huyo mtu kwa nguvu mpaka aseme ikibidi Nitumie uongo wowote kama mwanaume..
Nilifanikiwa Kimlazimisha na kumuuliza hatimaye akaamua kugunguka kuwa Yule Jamaa wa Microfinace alimbaka Yeye alipokuwa Ofisini kwake Kuchukua Kiasi cha Pesa Kilichobaki na wala haikuwa dhamiri yake..
Nikamuiliza Umereport tukio hilo akajibu "Hapana"
Nikamuuliza Ulipiga kelele akajibu "Hapana maana nisingesikika wala watu wasingeniamini"
Nikawaza sana Huyu Wife Nimezaa Naye watoto watatu..
Na anassma alimbaka Miezi minne Exactly tangu nilivyoondka ila nisingemuuliza Nadhani ingeendelea Kuwa story ya siri yake..
Ninawaza kumpa Talaka Tatu ila bado nahofu na watoto wangu Nimempa Talaka 2 ila akili yangu bado inaona nimeumizwa sana nastahili kufanya kitu ila bado moyo unavuja damu nifanye nini??
Naombeni wan JF mnishauri Nifanye Nini maana naumia Sana..
Na kwa maelezo yake Bado siamini kabisa..
Naombeni sana Ushauri maana ametishia Kujiua endapo sitamrejea
Inaweza Ila tatizo ni Concentration Mkuu!NB. Umenifungua macho sana kwenye issue ya meditation, kama umeweza kuitumia kutambua tatizo lililokuwepo na ikawa kweli, je, meditation haiwezi kukupa solution ya tatizo linalokusibu?
Pole Sana .Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.
IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu Ukabidi Niende Dodoma kama miezi mitano au sita Ilopita Na yeye Nikamuacha Tabora.
Tulikuwa tunawasiliana Vizuri tu na kuna kipindi Ilitokea Shida kidogo mwezi mmoja baada ya mimi Kuondoka, Kulitokea Hitilafu Kwenye Ujenzi tunaofanya hapo Kahama kwakuwa nilikuwa mbali na yeye Ni mfanyakazi wa Serkali nikamuomba akakope Pesa Kiasi halafu nitakuja Kufidishia (Ndiyo Tinavyofanya siku zote).
Kama Jukumu likiwa la kwangu na yeye akiwa na means ya kufanya bhasi anafanya Mimi naandika deni.
Kwakuwa Benki walikuwa wanachelewa Ikabidi aende kwa wanaoacha Kadi akafanikiwa na kupata pesa na kila mwezi akawa anakatwa pesa zake na alikuwa anafata kiasi kinachobaki hapo ofisini..
Wiki Moja kabla nikawa Nahisi Kama Kuna uwezekano Mke wanhu ananisaliti (Mimi ni mtu wa Kufanya Sana Meditation Hivyo Hisia zikinijia bhasi lazma nizifanyie Meditation Kwa siku angalau mbili na huwa napewa clear Picture)..
Kipindi nafanya Meditation nikawa naona kabisa Mke wangu ananisaliti sasa Baada ya miezi minne kuondoka huko Nikawa namuuliza Huko ni salama mbona kama kuna kitu kibaya unafanya jibu lake hakuna shida yoyote.
Guyz huyo jamaa wa Microfinace simjui na Sijakutana naye ila kuna kitu kikawa kina niambia nimuulize Wife na nimkazanie kuhusu Huyo mtu kwa nguvu mpaka aseme ikibidi Nitumie uongo wowote kama mwanaume..
Nilifanikiwa Kimlazimisha na kumuuliza hatimaye akaamua kugunguka kuwa yule Jamaa wa Microfinace alimbaka Yeye alipokuwa Ofisini kwake Kuchukua Kiasi cha Pesa Kilichobaki na wala haikuwa dhamiri yake.
Nikamuiliza Umereport tukio hilo akajibu "Hapana"
Nikamuuliza Ulipiga kelele akajibu "Hapana maana nisingesikika wala watu wasingeniamini"
Nikawaza sana huyu Wife nimezaa Naye watoto watatu..
Na anassma alimbaka Miezi minne Exactly tangu nilivyoondka ila nisingemuuliza Nadhani ingeendelea Kuwa story ya siri yake..
Ninawaza kumpa Talaka Tatu ila bado nahofu na watoto wangu Nimempa Talaka 2 ila akili yangu bado inaona nimeumizwa sana nastahili kufanya kitu ila bado moyo unavuja damu nifanye nini??
Naombeni wan JF mnishauri Nifanye Nini maana naumia Sana.
Na kwa maelezo yake Bado siamini kabisa.
Naombeni sana Ushauri maana ametishia Kujiua endapo sitamrejea
Hapana Sijachepuka Mkuu Nipo Kikazi zaidi na mawazo mengi huwa Ni kazi Mimi bi very Loyal na ndo maana Imeniuma Sana..Kama ni hivi basi mchepukaji. Kikubwa fungua moyo msamehe ila mpe likizo akajifunze akirud hata rudia. Lakini pia fanya mpango muishi pamoja ujue hainywagi uji ile. By the way wewe huko miezi yote mi5 hujachuja mkuu?hujachepuka
Sio kweli, kubakwa ni kuingiliwa bila ridhaa yakoWanaobakwa ni watoto na wanafunzi.
Miaka 34 habakwi ila anaichomeka mwenyewe..
Tena anaikatikia na mauno kabisa.
PM yako imefungwa Mkuu niPM wewePole Sana .
Ila naomba uni-pm nikupe insight
Usiache hayo maumivu ukae nayo muda mrefu, yatakuletea matatizo mengine kiafya hasa kwenye upande wa nerves, jitahidi kadri uwezavyo usahau hilo tatizo lililokupata, na best way ya kusahau ni kusamehe, sio kuacha, ukizidi kuwa mgumu wa kusamehe basi fahamu ndivyo utazidi kujitesa kwa mawazo yasiyo na mwisho, baadae uanze kuhangaika kutibu magonjwa.Meditation Inahitaji Utulivu wa Nafsi na hata mwili uwe umetulia..
Kwa sasa Siwezi kwa sababu bado nafsi inateseka hasira,Huzuni na hata Majonzi na machozi yananisonga..
Naumia sana na natamani nikipata Utilivu wa Nafsi nifanye ila Napata hasira na maumivu makali sana yanayofanya namiss Concentration