Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

Ameshafanyiwa hvyo ,na huyu mheshimiwa sidhani kama atakusaidia kuondoa hio tunda lililobakwašŸ˜…
Kosa la mke wako ni kukuambia ukweli? Mshukuru hata kakuambia ukweli maisha yaendelee maana naona huwezi kumuacha kabisa na huna msimamo, angekaa kimya ungeendelea kula hapo tu mbona, ukweli una gharama, uongo una
gharama pia

, ila umepanick sana bro, Ebu tulia kwanza, tuliza nafci,
Pole sana
kunywa maji mengi
fumba macho tuombe.

Ni kweli Kabisa Mkuu Hivi mama Dkt. Gwajima D hawezi kunisaidia au hakuna Sheria "Kama kweli amebakwa" za kufuata..

Na kiukweli Mkuu Nilikuwa Ninamwamini sana Mke wangu kwa sababu nimekuwa naye kwa muda mrefu kwenye Ndoa kama miaka 8 hivi
 
Hayupo mwanamme wa kuweza kumbaka mwanamke ikiwa hajahiari,mwanamke ananguvu sana kwenye mapaja yake,akiyabana hakika huwezi kuona ndani,nina uzoefu wa haya mambo,bila kumtishia kisu au bunduki kamwe hayupo mwanamme wa kumbaka mwanamke.

Hata na wewe na huo umri wako wa 46yrs binti wa miaka 17 kama hajahiyari huwezi kuona ndani,narudia tena huwezi.

Zakuambiwa changanya na zako.
 
Hii ni kama Mandela anakaa jela 28 years,anatoka nje anakuta Winnie was unfaithful,anamuoa Graca.
Nadhani wewe you are making a mountain out of a mole hill.
Umemwambia mwanamke akakope,mwanamke amejiremba ameenda kukopa.
Of course yule mwanamke anaweza kuwa faithful,but that cannot come from wishing. Mtu hawezi kutenda wema kwa kuamua tu,there also needs to be proper training.
 
Ni mfanyakazi wa serikali hashindwi na maisha huyo mwache aishi maisha yake.

Wewe jipambanie, ipambanie na kesho ya watoto wako kwa sasa.
Muda utaponya maumivu uliyonayo.
 
Nakushauri kausha tuu, abaki na hizo talaka 2, kupata mtu muaminifu siku hizi ngumu sana,

Mke wako anakupenda ndio maana anashiriki pamoja na wewe mambo ya kimaendeleo, na anajiweka dhamana kama hivyo usikwame
 
Pole sana.
Wewe hujawahi mcheat tangu umeoa?
 
Mpe pole mwenzako kabakwa, wewe unataka kumuongezea machungu šŸ˜…
 
Mwanamke huendeshwa na hisia na ndio zimefanya kafanya hayo mambo.

MWANAUME hutumia akili Na ndio mana hata mke akigundua kuna mchepuko Na akakuuliza huwezi kukubali kama unagonga huyo demu.

Mkeo mzuri na unampenda sana
Mkeo anakupenda Sana ndio mana kakuzalia watoto watatu.

Mke wako Kakwambia ukweli kama jamaa kagonga.

Sasa hisia zisikupekele ukaharibu ndoa yako mwenyewe mkuu.

Mchizi kugonga mara moja inauma lakini inauma zaidi kama mkeo atakuwa anaendelea na jamaa.

Mrudie mkeo kaka.
Mrudie mkeo kaka.
Mrudie mkeo kaka.

Akiendelea basi maamuzi yako ni muhimu kwamaana hawezi kuacha hata huko aendapo.
 
Pole sana,

Jambo muhimu ni wewe kujipima na kuona ni lipi lina nafuu kwa maisha yako/afya yako ya kiroho na mwili pia ustawi wa familia:

1: Kumpa muda na umrejee baada ya yeye kuwa muwazi zaidi ya nini kilitokea (mkae na kuongea ukweli wake usibaki na kudhani).

2: Umwache mkeo kwa kudhani hakubakwa bali alitembea na muhusika.
Umwache mkeo bila kujali chochote akwambie au asikwambie ukweli.

3: Kuendelea kuishi naye huku ukiwa unadhani nini kilitokea(umrejee bila kuuliza zaidi).

5: Umwache jumla mkeo na aendelee na maisha yake(kwa kukubaliana ni vipi mtalea watoto).

6: Mfanye separation na kuendelea kulea watoto wenu tu, ukiwa inaishi naye.

NB: Inahitaji kumshirikisha muumba, kutulia sana, tafakari ya hali ya juu, muda na maono ya ustawi wa jumla wa maisha yako na familia. Ili uweze kuamua bila kujilaumu kwa hatua yoyote utakayochukua hapo baadaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…