Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UWT ni kipindi chenu cha kuvunaNi kama Nyie Bawacha tu mama Imma 🐒
Naunga mkono HOJA,Naibu wa rais Kenya amelazimika kukimbilia mahakamani kujaribu kuzuia mchakato wa kubanduliwa kwake ofisini ingawa uwezekano wa bunge kumuondoa bado ni mkubwa zaidi.
Tayari wabunge wapatao 242 wameridhia muswada huo kuletwa bungeni kati ya angalau wabunge 117 waliohitajika kisheria.
Endapo spika ataridhika kwamba matakwa ya kisheria yametimizwa ataidhinisha mjadala wa hoja na kupiga kura katika kikao cha mashauriano, na iwapo theluthi mbili ya wabunge yaani wabunge 233 kati ya 349 watapiga kura ya ndiyo ili Gachagua aondolewe mamlakani, basi ni mahakama pekee ndiyo inaweza kumnusuru asalie kwenye nafasi yake kwa mujibu wa katiba ya Kenya ya 2010.
Pamoja na mambo mengine, Naibu wa Rais huyo wa Kenya Rigathi Gachagua, anatuhumiwa kukiuka katiba, kukiuka sheria za nchi, utovu wa nidhamu uliokithiri, matumizi mabaya ya ofisi na tuhuma nyingine nyingine ambazo zitawekwa wazi na mtoa hoja mapema wiki ijayo.
Ni yapi maoni yako, ajiuzulu au apambane?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hata nyie BAWACHA ni jeshi kubwa si mlimkaribisha mpaka MAMAUWT nyie ni jeshi kubwa asee
Kipindi chenu cha mavuno sahivi UWTHata nyie BAWACHA ni jeshi kubwa si mlimkaribisha mpaka MAMA
Interests and Betrayal are two main constants in politics gentleman 🐒Huu ni unafiki mkubwa na kukosa fadhila kwa Ruto, kwasbb bila Rigathe Gachagua kumpambania asingeweza kupata kiti cha urais. Ame-play role kubwa sana.
Hiki ndicho alichokifanya Samia pia. Baada ya kifo cha jiwe, sukuma gang hawakutaka Samia ashike wadhifa wa urais....walitaka wamchezee kekundu.
Msoga gang ikasimama kidete kuhakikisha Samia anakikalia kiti. Lkn hivi sasa Samia anaisulubu Msoga gang na kuikumbatia Sukuma gang.
Kuna mwanamke mwenzio kanitapeli aseekwani mama Imma bado hujavuna zile mbaazi zako?🐒
Wewe utaweza kumkataa diwani hata akiharibu? tunaishi kwa hisani ya Rais na siyo katiba,sheria, kanuni na taratibukwahivyo katiba ya Kenya ni nzuri? 🤣
Huyu mzee yupo pale kama pambo hata yeye job description yake ukimuuliza hajuiDr mpango naye hata sijui KAZI yake Kwa kweli,
Hawana kunyenyekeanahyo nchi ina matatizo.
Kila rais ana kuwa na bifu na makamu wake
Ukiacha hayo.hao jamaa wana uroho wa madaraka. Nilimuona gachagui akihojiwa.analalamika hata kwenye group la rais katolewa.Hawana kunyenyekeana
We umewahi kuona huko
Mtu anajigaragaza kwa ajili ya mtu fulani
Ova
hyo nchi ina matatizo.
Kila rais ana kuwa na bifu na makamu wake
Huu ni unafiki mkubwa na kukosa fadhila kwa Ruto, kwasbb bila Rigathe Gachagua kumpambania asingeweza kupata kiti cha urais. Ame-play role kubwa sana.
Hiki ndicho alichokifanya Samia pia. Baada ya kifo cha jiwe, sukuma gang hawakutaka Samia ashike wadhifa wa urais....walitaka wamchezee kekundu.
Msoga gang ikasimama kidete kuhakikisha Samia anakikalia kiti. Lkn hivi sasa Samia anaisulubu Msoga gang na kuikumbatia Sukuma gang.
Tamaa ya madaraka hakuna lingine.Ndo inavyotakiwa holi viongozi wajiheshimu. Siyo watu fulani wanakuwa untouchable!!!
Nipo nyonyoUpo?