Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

Update itakuwa 149 tu ukijumlisha na mbunge

Kweli haka kaugonjwa ni kadogo sana,hayo ndiyo maneno ya kujifariji kutoka ccm
 
Ni akili za kimaskini tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona ikiwavuruga wao wenyewe labda watapata akili na kufanya yanayotakiwa kufanywa kama serikali ya watu na siyi ya vitu
 
Tulupokuwa tunaona aibu kutaja UKIMWI watu walikufa kama KUKU. Leo kila kitu kiko hadharani ukimwi kila mtu anajua kujikinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina haja kuogopa. Corona ni kagonjwa kadogo sana. Haina haja kupaniki, tuendelee kuchapa kazi tu. Uchumi wetu ni mzuri na by the way kuna nchi 8 zinategemea nchi yetu kwa bidhaa zao.
Nikiikumbuka hii statement huwa sijui namuwaziaga vipi rais wetu.
Mungu tusaidie
 
Bwana upepo wavuuuuumaaa Wimbi lina Ghadhabu...………. Wimbi hili linangurumaa Bandari si karibuuuuu……….

Pepo na mawimbi vyamsikiza .M...tuuuuuliiiaaaaa…….....M...…...tuliaaa ...

Mwe zamani nlikuwa muimba kwaya.

Baba Mungu tuponywe na upepo huu
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Tunusuru Na Corona Virus Diseases 19 Inatumaliza

Mungu ni mwema wakati wote kivipi wakati duniani watu wanakufa ovyo kama kuku na hiyo Corona ???
 
Weka Karantini wote hao haraka sana, hakuna kutoka. Hawa jamaa uwakilishi wao kwa wananchi does not involve Corona..., sijui na kwanini walishindwa kufanya Bunge kwa kutumia telecomference wakiwa majumbani kwao...
Waheshimiwa wakae karantini, thubutu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge Wameruhusiwa kwenda nyumbani badala ya kuwekwa kizuizini hii ni hatari zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…