WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 977
Kama suala ni dogo hivyo, kwanini ametaka kulipa publicity kubwa hivyo?Anapitia humu mkuu. Anasema nguo zipo wamechukua jinsi moja na vitu vingine. Silaha zake wameziacha. wamechukua documents. Anasema anashangaa haki ya mungu, wameacha nastola na bunduki kubwa wataalamu wanaamini ni wadokozi tu na si majambazi kwa kuwa majambazi wangechukua silaha. Anahisi watu walimuona baada ya kuchungulia na kukuta amelala ama ni watu waliokuwa na taarifa na wanajua nini walichokuwa wanakifanya.
Huyu naye!
Lap top mbili za nini sasa kama siyo ulimbukeni!Hata tukiacha kujadili hilo swala la aliyemuibia kuna mambo mengine huwezi kueleweka hata kidogo hasa kama wewe ni kiongozi!Unachanganya vipi mambo ya kazi na mambo yako mengine ya binafsi ukijua una dhamana kubwa mikononi mwako?Viongozi wetu bwana,ijui ni lini watajifunza.Hizo semina elekezi inabidi wapewe maelekezo hadi kwenye ishu kama hizi.
Imagine mada kama "Mambo ya kuzingatia unapokuwa kwenye shughuli zisizo rasmi.."..sijui nani atawapa hilo somo lol
Kasema alikuwa na bunduki kubwa na bastola ila hazikuibiwa!
Amekanusha mkuu anasema ilikuwa mapema.kwa hiyo alikuwa na kahaba au hajasema?.......................
... wakati hana laptop? Hapa kuna harufu ya kufuatiliana hizi ID, ngoja niache kuchangia thread hii wasije wakanitembelea huku ArumeruAlijuawaje kuwa JF wanamjadili?
maneno rahisi ni kuwa NAIBU WAZIRI AIBIWA GESTI AKIWA ANAFANYA NGONO ISIYO SALAMA
Mkuu kwa mujibu wake mwenyewe mabegi yalikuwa yamejaa nyaraka na laptop mbili zenye nyaraka!
Una maana ya kujinyea mkuu au ameloanishwa na nini?
Huyo mdada ana akili sana, kuiba NO! kukomoa yes
Huyu naye!
Lap top mbili za nini sasa kama siyo ulimbukeni!Hata tukiacha kujadili hilo swala la aliyemuibia kuna mambo mengine huwezi kueleweka hata kidogo hasa kama wewe ni kiongozi!Unachanganya vipi mambo ya kazi na mambo yako mengine ya binafsi ukijua una dhamana kubwa mikononi mwako?Viongozi wetu bwana,ijui ni lini watajifunza.Hizo semina elekezi inabidi wapewe maelekezo hadi kwenye ishu kama hizi.
Imagine mada kama "Mambo ya kuzingatia unapokuwa kwenye shughuli zisizo rasmi.."..sijui nani atawapa hilo somo lol
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.
Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!
Manjagy bado yanafuatilia issue hii nzima!
Source: Radio One, muda 13:14 pm
Exile?Viongozi wetu kama wanajeshi! Hivi tatizo ni nini hadi anatembea na bunduki na bastola. Pia anasema anatembea na paspoti na hela kwa ajili ya dharura kuwa anaweza kusafiri wakati wowote! Hapa kuna ujumbe gani?