Haki ya kweli THREAD hii ya leo inaweza kumkesshesha mtu hivi hivi maana matofali yanavyomiminika humu sina hamu!!!
Kuna jamaa angu mpaka chupi walimchukulia. Lucky enough alikuwa na namba ya one of rafiki.akamwomba muhudumu akipiga jamaa akatoka dar mpaka moro.
Jamaa for 3 days alikuwa hoi.uwa wanapaka drug kwa matiti ukinyonya tu lazima ulale more than 8 hrs. Pole malima hawa sio wa Udom, hawa ni Mungiki na banyamulenge.
Ila amcheki Pimp Maneno Ngedere hapo Kaumba.atapata ata laptop yake(maana huwa awaachi kitu)ngedere anakuwepo hapo from saa 3 ucku.
Huo ni ushauri mzuri sana kwa huyu kijana mwenzetu akakomboe walau hata ka-laptop moja. Sasa laptops zote mbili na USD 4,000 kwa Moro ...?????
Waheshimiwa wabunge popote pale mlipo, kama mlidhani gharama ya maisha bila posho ni balaa Domz basi jaribu Moro ndipo utakapokutana na Banyamulenge wakisubiri kujikamulia kodi zao toka kwenu ili maisha yaendelee.
Yaani nikifikiria jinsi gani Mhe Nchimbi atakavyokua anamcheka huyu rafiki yake mbavu kuuma, na machozi ya furaha kugoma kukatika, wala sina hamu!!!!!!
Masud Kipanya au mkuu Mpangala kama si mzee Joti kule Mikocheni, tukamilishieni hii sinema OVER!!!!
Confirmed alikuwa na jimama..kuna sehemu moja maarufu kwa machangudoa pale Morogoro..wakuu naomba mnikumbushe mtu kanitajia halafu imenitoka tena.