buyegiboseba
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 535
- 145
Katika Taarifa ya Habari ITV saa mbili Mh malima amesema kwamba hizo hela zilizoibiwa ni "Vijipesa kidogo tu"
USD4000+1.5mil Tsh~Millioni Saba ni vijipesa kidogo kwa malima
Kama habari hii ina uhakika ni aibu kwa serikali kuwa na mawaziri washerati wapenda kujirusha! na ni vema serikali ikamtafuta kahaba huyo apewe "tuzo" kwa kuanika maisha ya kujirusha ya waheshimiwa! Watu kama hawa wanapokufa mseme wamekufa nini msikimbilie mshinikizo ya damu!Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
katika kuonyesha usanii huo muda si mrefu utasikia wanadai vimeanza kuonekana baadhi ya vitu
hivi ni vituko vya ,mwaka.
Wana JF niambieni kuna nini special kuhusu Adam Malima? Maana mada imeanza sa 7.13 na kufika saa hizi ni saa 4 .11 za usiku lakini kuna wchangiaji 481. Yaani posts 50 kwa saa au kwa kila dakika moja na sekunde 15 inayokwenda kuna mtu anapost. Je Adam ni kichwa kiasi hicho au ana maadui wengi? Naomba jibu

Mkuu niko Hotelini hapa na kuna haka kakipeperushi kananikera kanasema hivi: You are urged to deposit your valuable items such as money, computer, camera, fire arms, etc to the receptionist and a receipt will be issued. The hotel shall not be held responsible for any loss caused by violation of this regulation!!
Sijui kama hiyo hotel nayo ilikuwa na haka katangazo kweli.