source ni ITV habari jioni ya leo 10/03/2012.
Wakati anajibu maswali ya wanahabari kutokana na tukio la kuibiwa mabegi yenye nguo kadhaa ambazo thamani haikujulikana mara moja,laptops mbili zenye thamani ya shilingi milioni Tano,pete mbili za silver thamani ya shilingi milioni mbili kwa zote,kibaraghashia tahamani ya shilingi elfu hamsini,Pesa taslimu dola za kimerekani elfu tano (sawa na T/SHS millioni saba na nusu) pamoja na Shilingi milioni moja na nusu taslimu za kitanzania.
Namnukuu,"HUWA NATEMBEA PAMOJA NA VIJIPESA KIDOGO,TAYARI KWA DHARURA YOYOTE ENDAPO NGELEJA KASHINDWA KUHUDHURIA NAWEZA NIKAANZIA SAFARI POPOTE,ADUI WANGU SIMJUI, ILA KAMA BUNDUKI NINAYO! KAMA BASTOLA NINAYO!,"Mwisho wa kunukuu sehemu ya majibu yake.
Je.? Thamani husika kwa ziara ya naibu waziri mikoani hapo vipi?....naomba kuwakilisha.