Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!


Umeliangalia kwa macho ya kikubwa hapa lakini shida ni kuwa yeye Malima hana upeo huo wa mkubwa staha yake kuficha aibu.
 

malima huyo akiwa na mzee Kingunge Ngombale Mwilu..!

nampa pole sana ila huyu jamaa msimponde saaana kiasi fulani namkubali anapiga kazi.
 
hivi akirudi kwa mkewe atasema ilikuwaje akasafihwa hata asibakiziwe bukta kama sio chupi ya kuvaa!!!

Huyu atakuwa Kaibiwa na dada powaas.....kapewaa mavitu akapitiwa na usingiziiii....ndio Zao machangu ....

Watoto wa mjini ...ukizidiwa ukiwa safarini ukichukua Hawa waduduz ...unaficha kila kitu....unanabakisha ya kulipa tu.....na unahakikisha ukisharidhika una Fu hulka mlango anaondoka ..unafunga...hata hawe mzuri vipi.....huwezi lala kwa Uhuru Hadi asubuhi na mtu usiyemjuwa....
 

Hata kama si hard copy. Kaibiwa na laptop mbili. Document nyingi (softcopy) za serikali zimepokwa. pengine hiyo ndo ilikuwa target.
 
nammiss sana baba wa taifa!maadili ya uongozi yako wapi sasa!kwa mujibu wa baba yetu wa taifa kwa kiongozi kutoka na mwanamke wa mabarabarani ni sababu tosha ya kujizulu!sitaki kuamini alikuwa na mwanamke!
 
Hii habari imekamata watu aisee.....

There are currently 299 users browsing this thread. (82 members and 217 guests)
 
ile micheni na mipete yake ya gold lazima huyo changu atakuwa amelamba yote, mweeeeeeee! wanaume tuna kazi kweli kweli!

Waiache tena wamekuwa wadogo zake? Kama wamechukua hadi kufuri unadhani ndio wamuachie hayo madini?
 
Safi wana ccm wamezoea kuiba,ngoja nae aonje joto ya jiwe!huyu alienda SA akaandika jina fake hotelini mnakumbuka?
 
Hata kama si hard copy. Kaibiwa na laptop mbili. Document nyingi (softcopy) za serikali zimepokwa. pengine hiyo ndo ilikuwa target.

Eeeeeh Mungu wangu tunusuru na Kimbunga. Laptop mbili zimesheheni nyaraka za Nchi kuanzia Bulyanhulu, Nyamongo, Mwanakitolyo, Tunduru (urani) hadi Chunya. Hapo bado nyaraka za utafiti wa mafuta na gas. Hawa watoto wabaya!
 

Kimbunga, wafundishe wanaume wenzio wasio na simile, dunia imeharibika, wakiwa nje ya familia zao wajihadhali na kujichunga na tamaa za mwili, INAWEZEKANA, ngono siku hizi siyo dili ni maafa.
 
nilishawahi andika humu kuwa hili sharobaro malima nilishawahi kutana nalo anga za hatari..

Da!! JF is very interesting forum..sasa mkuu mbona na wewe unaonekana sharobaro..nikiangalia hiyo avatar yako.
 
kwahiyo kaibiwa hadi kofuli?? kwahy aliazima kufuli la muhudumu?
 
Hata kama si hard copy. Kaibiwa na laptop mbili. Document nyingi (softcopy) za serikali zimepokwa. pengine hiyo ndo ilikuwa target.


Mkuu hakika nakuambia sasa utaona jinsi vyombo vyetu vya usalama wa viongozi vinavyofanya kazi; nina hakika vitu vyote vitakamatwa kabla jua halijazama leo hii. Tupo hapa tutaona.
 

Si atasema mlango ulivunjwa na wakamvua hadi chupi kwa nguvu.
Lol!!!
 
Kimbunga, wafundishe wanaume wenzio wasio na simile, dunia imeharibika, wakiwa nje ya familia zao wajihadhali na kujichunga na tamaa za mwili, INAWEZEKANA, ngono siku hizi siyo dili ni maafa.

Hakika mkuu; unaweza ukalambwa kama mshikaji au ukaibua virus ama vyote viwili kwa pamoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…