Contractor ndie anajenga mradi ukikamilika unakabidhiwa serikalini na haundeshwi bure wapata maji wanalipa bili sasa hivi maafisa majii koko vinavyolipwa mishahara kila mwezi wakati wananchi maji hawapati si uhujumu uchumi huo? Wanalippwa mishahara kwa maji yasiyokuwepo vinalipwa kwa Kipi? Raisi Magufuli fukuza wote walipe chao wakajiajiri ujinga mtupu.
Maji hakuna halafu mishahara wanalipwa kwa performance ipi?
Kuna mwizi mmoja alijifanya kazimia Morogoro kipindi Dkt Magufuli kaja kuzindua stand msamvu, yaani aliposikia tu Mh Abood kasema kero ya maji akajidondosha maana Morogoro ni moja ya eneo lenye vyanzo vingi vya maji ila maji ila nasikia eti maji ni ya mgao huku idara ya maji wapo tu.