Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,063
- 1,050
Na bado,watatekana sana
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.
Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.
Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
Washughulike naye. Hawa ndio huwa wanatishia watu na vitambulisho fakeJasusi gani mpmbv hivy
Ova
Kilaza mkubwa huyu .View attachment 3336049
Photo : Deus Clement Sangu
Huyu lazima atakuwa mmoja wa waratibu, wawezeshaji na mfadhili wa mbinu chafu za watu wasiojulikana wanaofanya vitendo vya kutisha, kuteka, kupoteza, kutupa watu maporini.
TOKA MAKTABA :
Mheshimiwa Mwenyekiti, mimi peke yangu, mimi Deus Clement Sangu...
View: https://m.youtube.com/watch?v=54K_07rZsV0
Year Level School Awards 2013 - 2015 Masters Degree Mzumbe University Master of Science in Procurement and SUpply Chain Management 2007 - 2010 Bachelor Degree University of Dar es Salaam Bachelor of Commerce in management Science 2005 - 2007 Advanced Diploma Mwakaleli Secondary School ACSE 2000 - 2004 Secondary School Kaengesa Secondary School CSEE 1993 - 1999 Primary School Laela A Primary School
Year Position Organization 2018 - 2020 Senior Manager Procurement TPB Bank PLC 2013 - 2018 Head of Procurement Twiga Bancorp Ltd 2012 - 2013 Procurement Officer Twiga Bancorp Ltd 2011 - 2012 Bank Operations Officer Twiga Bancorp Ltd 2010 - 2011 Bank Operation Officer Barclays Bank T Ltd
Source : Bunge Polis
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.
Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.
Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
Hao wanaidara ulishawahi kusikia wanazungumza chochote? Hao ni silent doers!Tiss wakanushe alafu mambo ya Usalama kufanya kazi kwa siri Kuba baadhi ya kazi sio za kufanya kwa siri kwa mfano kukanusha suala kama hili ni muhimu sana kwamba sio mtu wao
Ujasusi wa Bulgaria utakuwa bado wa enzi zile za ujima wa kikomunistiImagine hakujua atarekodiwa? Anadai kasomea ujasusi Bulgaria
Hebu tia nia wa mimi, tuzichange za wajumbe😂Mwambie hivi ,hataliona Hilo jimbo Tena
😂😂Hebu tia nia wa mimi, tuzichange za wajumbe😂
Halafu Kuna mtu anasema alikuwa anatishia tu kusema "no reform no election".Hao wananchi wa ilo jimbo wanachukuliwaje sijui.
Tunaelekea pazuri....mungu akazie hapohapo asitoe iyo flash
Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii.
Katika kauli zake, Sangu amedai kuwa yeye ni jasusi aliyefunzwa na serikali kupitia Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), akisisitiza kuwa mafunzo hayo anayatumia kuwazuia watu asiowataka kuingia au kushindana naye kisiasa ndani ya jimbo la Kwela.
Amedai kuwa kwa kutumia mbinu hizo, amefanikisha kulizuia jimbo hilo kugawanywa kinyume na mipango ya serikali na chama tawala (CCM), akisisitiza kuwa yeye pekee ana uwezo wa kulilinda jimbo hilo kubaki chini ya ushawishi wake kwa njia yoyote itakayohitajika.
Kauli hizo zimeibua taharuki miongoni mwa wananchi na wadau wa demokrasia, huku baadhi wakidai kuwa ni hatari kwa usalama na uhuru wa kisiasa katika eneo hilo.
Idara imeanza kuinzia maafisa kwenye siasa since way back, thank to mfumo aliouacha J.K.Nyerere, although mwanzoni alikuwa malengo mazuri, na walimsaidia.Huyu Mbogo anayetajwa ndio huyu alikuwa mlinzi wa dikteta uchwara na sasa unajiuliza kama idara ya usalama inaingiza maafisa kwenye siasa kupitia chama cha kijani hapo kunakuwa na usalama kweli .?
View attachment 3336123