PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Amechambia mirinda nyeusi
 
Nimeshtushwa Sana na hiki kitu. Mbunge anawezaje kutamka haya?? Naogopa sasa. Amemuamuru hadi Waziri Mkuu? Msije kuniua bure.

Mjinga mjinga anayegombea atakatwa pale pale alafu kuniambia kuwa mtu anataka agombee ambapambeni na mimi eti kwa sababu jimbo ni kubwa aje tu.

Mimi ni mafia ulikuwa unijuwi mimi ni mafia na hapo wameniongezea kwa nafasi ya kuwa mbunge, balaa lake ni kubwa, mimi ni mesoma nimefanya kazi Usalama wa Taifa kwenye kitengo cha kumlinda rais amesema mtia nia wa jimbo la Kwela Rukwa


Your browser is not able to display this video.
 
Ccm watamalizana wenyewe kwa wenyewe sasa
 
CCM inafuga Majambazi. Kama huyo ni jambazi aliyefundishwa na TICCM
 
Haya sasa. Sisi tumekaa kimya sasa Mawe yameanza kusema...
 
Anajiita mafia badala ya mafioso.
Si huwa nasikia TISS ukisema sema vitu kudhalikisha Idara unafichwa au unawekwa safe house, au hii ina baraka zao? Mbona kama ni jasusi ni mweupe sana kwa kichwa yaani hana nywele kabisa
 
Hiki ni kipindi cha fitna! Hiyo clip ni ya muda mrefu sana, kama sijakosea ni 2021.

Uchaguzi unakaribia, watu wanachafuana kuharibu reputation za watu.
mkuu kwamba 2021 inafanya uhalali wa upuuzi anao ongea huyo bwana

alafu anachafuliwa vipi ikiwa kaanika uchafu wake mwenyewe
 
Atenguliwe haraka anataka kutuaminisha unyama uliopo nchini kwasasa ni kazi ya mikono yao. Halafu lawama tunawapa polisi wetu. So idiotism
 
Mirembe ilianzishwa kwa ajili ya watu wenye matatizo ya akili kama hilo titiki maji
 
Imebidi nitazame angani ila sijaona 🌙
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…