Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Unaandika kama vile unamjua kila kitu, sometimes sio lazima kucomment kama huna taarifa za kutosha.Mtu hajawahi hata kukaimu ukuu wa idara, ghafra bin vuu unampa cheo ambacho hakutarajia. Uzoefu ni muhimu hata ukiwa msomi. Si aibu kwa mshindwa kuapa tu, hata kwa mteuzi.
Kipapai tu kile.
Sisi tuliocheza soka yale mambo tunayaelewa sana hasa kama wewe ni " mshambuliaji"
Hakuna uchawi hapo huyo mtu hana confidence hilo ndio linafanya ashindwe kusoma.Ameshatenguliwa tayari,waallah uchawi upo,hicho kipapai alichopigwa ni kiboko
Hiyo aibu najaribu kuvaa viatu vyake naona havienei kabisa.Ndugu jamaa na familia utawatizama vipi.
Niliwaona wakila kiapo utadhani watoto wa chekechea,aibu yetu Watanzania.Wamesifiwa kuwa ni miongo mwa wabunge makini zaidi ya 350 ambao Mheshimiwa amepewa na NEC hadi anashindwa kuteua.Hii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo kuwekwa pembeni ili waapishwe wengine.
Wakati wa hotuba yake Rais Magufuli amesema atateua Naibu waziri mwingine wa madini baada ya Francis kufeli kula kiapo.
Sijajua manaibu waziri hawa wana mchecheto gani!
Maendeleo hayana vyama!
Wewe na Francis wenu?Tatizo letu St. Kayumba, confidence zero!...
Wewe na Francis wenu?Tatizo letu St. Kayumba, confidence zero!...
Itakuwa walimtumia upepo wa kisulisuli,M
Mheshimiwa cv yake ipo vizuri sijui nini kimempata
mimi sijui ila siwapendi wanao tegemea nguvu za giza maaana huwa hawafanyi kazi zao kwa kutegemea uwezo wa taaluma zao bali hutegemea nguvu za giza ndio maaana mara nyigi hawajiaminiCCM wote wanategemea nguvu za giza
Kuwa mkurugenzi na mhasibu wa Tanroads sio hoja,hoja alileta tija gani kwenye taasisi,Dunia duara ukifikiri Sana utalia kila Mara, mheshimiwa Ndulane amekuwa mhasibu Tanroads zaidi ya miaka 10, amekuwa mkurugenzi wa mji wa ifakara, amekuwa Kiongozi wa mpira Lindi na Morogoro, amekuwa mjumbe wa TFF ktk kamati ya fedha na uongozi na amesafiri na Taifa Stars zaidi ya Mara 4, leo ameshindwa kuapa kurasa moja, hii ndiyo Dunia, tunatakiwa kutafakari kwa kina kabla ya kumhukumu
Nilitaka kujua kama kuna kozi ambazo mtu anaweza kwenda kuchukua masters degree moja kwa moja akiwa na advanced Diploma bila kupitia Postgraduate diploma? Au Postgraduate Diploma ni equivalent to Masters degree?
Nimekuelewa mkuu!Hao wengi ni wachumia tumbo. Ndio maana hawaweziona vitu vya rohoni. Kwahiyo usisumbuke nao; hawana chochote cha Kiungu. Si ajabu hata wao wanamtegemea Shetani kusukuma mambo yao!
Utapata laana wewe nguruwe. Wazazi wako wote ni CCM.Akome,hawa watu Wa kijani hata sio Wa kuonea huruma.
Yapmimi sijui ila siwapendi wanao tegemea nguvu za giza maaana huwa hawafanyi kazi zao kwa kutegemea uwezo wa taaluma zao bali hutegemea nguvu za giza ndio maaana mara nyigi hawajiamini
Da!Utapata laana wewe nguruwe. Wazazi wako wote ni CCM.
Mimi nguruwe siwezi pata laana kamwe.eti.Utapata laana wewe nguruwe. Wazazi wako wote ni CCM.
Yaa inawezekana, maana niliona clip alienda vizuri tu hadi mwisho, kumalizia ile 'ee Mungu nisaidie' sijui kilitokea nini wakamwambia arudie.Kipapai usikute wabongo nyoko sana