Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Naibu waziri kashindwa kusoma kiapo..alikuwa km mtu asiyejua kusoma au labda hakuwa anaona maandishi. InasikitishaKwani kuna habari gani huku kipenzi[emoji8]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naibu waziri kashindwa kusoma kiapo..alikuwa km mtu asiyejua kusoma au labda hakuwa anaona maandishi. InasikitishaKwani kuna habari gani huku kipenzi[emoji8]
Huyu naibu hana jina?Kwenye hotuba yake Rais JPM amewatumbua naibu waziri wa madini kwa kushindwa kuapa, na mkurungenzi wa Geita kwa kununua gari la zaidi ya 400 milioni.
Imeisha hiyo...
Hahahah... haina shida; ataapishwa gereji baadaye; sio lazima mshuhudie akiapa; mtapewa tu taarifa kiapo chao kilishafanyika tena kwa ufanisi mkubwa.
Utawala una tatizo gani?UTAWALA wa AIBU
Mkuu bado tu unaongelea uchaguzi, achilia maisha ya endelee utapata ugonjwa wa kideri kwa mawazo
Haya pole.Kama bado tunamuongelea Nyerere, ndio itakuwa huo uchaguzi wa juzi?
Hata maraisi wengine wa nchi nyingine wapo hawajui kiingeeeza bali lugha zao, wanaenda na wakalimani.
😂😂😂 Mimi sishangai sababu ndani ya chichiemu kuna yule muweka nia yule mdada alishindwa kujielezeaHii imetokea leo ambapo naibu waziri Fransis Ndulano alishindwa kusoma vizuri hati ya kiapo akapewa nafasi ya kurudia bado akawa anakwamakwama hadi akaambiwa akakae kwenye kiti chake. Sijui ataapa siku yingine au ndio kibarua kimeota nyasi. Sasa sijui ni uoga au wamemroga.
Fundisho:
Tuwafundishe watoto wetu kujiamini pamoja na elimu walizo nazo confidence ni muhimu.
Haya pole.
Ni wa kike?Huyu aliyemroga kampatia
Sijui atamwambia nini mmewe
Dah aisee uchawi upo, unaona maandishi yamepandana mpaka unashikwa kigugumizi. Walimwengu washafanya yao.Naibu waziri kashindwa kusoma kiapo..alikuwa km mtu asiyejua kusoma au labda hakuwa anaona maandishi. Inasikitisha
Vick Kamata.Huyu naibu hana jina?
Kuna mbunge wa Cdm alishindwa kutaja tarakimu bungeniTunaposema CCM huwa inaokota watu wenye mitindio ya ubongo wa kisiasa na kuipa vyeo haya ndio matokeo yake.
Kiingereza cha kayumba unakijua wewe? Wengi tunaelewa kukisoma lakini hatuna ujasiri wa kuongea fluentlyWalisoma kwa kiingereza?