Mollel hana akili na anatumia cheo chake vibaya snSafi,huu ujinga ufike mwisho,mtu akipewa kacheo tu anadhani anaweza kufanya kila kitu
Nyuki njoeniTaarifa zinasema mkuu wa Idara ya Ujenzi Wizara ya Afya anaendelea na majukumu yake kama kawaida baada ya kubainika kuwa Naibu Waziri hana mamlaka ya kumshusha cheo mtumishi wa wizara
Dkt. Mollel alimvua Madaraka ya ukuu wa Idara ya Ujenzi Injinia Korosso baada ya manishano ya kitaaluma ya hapa na pale
pia soma - Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”
Kwani wizara ni Jeshi?Katibu Mkuu atumbuliwe hafai kuwepo hapo na ameonesha insurbordination ya kiwango kikubwa.
Huwezi kuruhusu mtu wa chini kujibizana na waziri ukaona ni sawa kwa Sababu sio mamlaka ya naibu waziri.
Kwa iyo Kama mtu ni kiongozi asijibiwe Hata pale ambapo anaongea Mambo ya ajabu? Si alipewa fact kutokana na kile ambacho hakijui, hatuwezi kuwa na watu waogawaoga, kazi ni dhamana LAZIMA simamia kweli, mtu anakwambia umeiba live na wewe unafact hujaiba unamuacha usimpe fact kisa kiongozi?Katibu Mkuu atumbuliwe hafai kuwepo hapo na ameonesha insurbordination ya kiwango kikubwa.
Huwezi kuruhusu mtu wa chini kujibizana na waziri ukaona ni sawa kwa Sababu sio mamlaka ya naibu waziri.
Naunga mkonoKwa iyo Kama mtu ni kiongozi asijibiwe Hata pale ambapo anaongea Mambo ya ajabu? Si alipewa fact kutokana na kile ambacho hakijui, hatuwezi kuwa na watu waogawaoga, kazi ni dhamana LAZIMA simamia kweli, mtu anakwambia umeiba live na wewe unafact hujaiba unamuacha usimpe fact kisa kiongozi?
Katibu Mkuu atumbuliwe hafai kuwepo hapo na ameonesha insurbordination ya kiwango kikubwa.
Huwezi kuruhusu mtu wa chini kujibizana na waziri ukaona ni sawa kwa Sababu sio mamlaka ya naibu waziri.
Huyu Mollel ni mzigo wa misumari kwa SamiaTaarifa zinasema mkuu wa Idara ya Ujenzi Wizara ya Afya anaendelea na majukumu yake kama kawaida baada ya kubainika kuwa Naibu Waziri hana mamlaka ya kumshusha cheo mtumishi wa wizara
Dkt. Mollel alimvua Madaraka ya ukuu wa Idara ya Ujenzi Injinia Korosso baada ya manishano ya kitaaluma ya hapa na pale
pia soma - Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”
Sijui Chadema walimtoa wapi?Huyu Mollel ni mzigo wa misumari kwa Samia
Naunga mkono..Katibu Mkuu wa wizara ndie muajiri ktk wizara husika.
..Yeye pia ndiye mwenye mamlaka ya kuwawajibisha na kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi wa wizara yake.
..Kwa hiyo Waziri hana mamlaka ya kufuta mtumishi kazi, iwe ni mkurugenzi, dereva, mfagizi, etc.
..Kama Waziri anaamini mtumishi wa wizara amekosea, anatakiwa amshtaki kwa KATIBU MKUU ambaye anatakiwa AJIRIDHISHE na tuhuma zilizotolewa kabla ya kuchukua HATUA.
Mkuu aya matatizo yapo kwenye idara nyingi ,watu hawajui mipaka yao ya KAZI, ikiwa na cheo anaona wale wote wapo chini yake anaweza kufanya atakavyo, kitishia n.k, Sasa dawa ya Hawa pale unapomkuta mtumishi anajua taratibu na kanuni katika utumishi, mtaenda wataenda sawa..Katibu Mkuu wa wizara ndie muajiri ktk wizara husika.
..Yeye pia ndiye mwenye mamlaka ya kuwawajibisha na kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi wa wizara yake.
..Kwa hiyo Waziri hana mamlaka ya kufuta mtumishi kazi, iwe ni mkurugenzi, dereva, mfagizi, etc.
..Kama Waziri anaamini mtumishi wa wizara amekosea, anatakiwa amshtaki kwa KATIBU MKUU ambaye anatakiwa AJIRIDHISHE na tuhuma zilizotolewa kabla ya kuchukua HATUA.
Wameacha majukumu yao ya kisiasa wamebaki kutafuta kiki kwenye vyombo vya habari.Hivi hawa mawaziri,l na manaibu wao,wakuu wa mikoa na wilaya hawana job description kwenye nafasi zao?
Taarifa zinasema mkuu wa Idara ya Ujenzi Wizara ya Afya anaendelea na majukumu yake kama kawaida baada ya kubainika kuwa Naibu Waziri hana mamlaka ya kumshusha cheo mtumishi wa wizara
Dkt. Mollel alimvua Madaraka ya ukuu wa Idara ya Ujenzi Injinia Korosso baada ya manishano ya kitaaluma ya hapa na pale
pia soma - Naibu Waziri wa Afya amuondolea madaraka Mkuu wa Idara aliyemjibu “Sijali lolote hata nikifukuzwa kazi”
... kahaba la kisiasa lile lilitokea CCM baada ya muda likajistukia kwa Chadema ni liability likaamua kurudi huko huko lilikotokea.Sijui Chadema walimtoa wapi?
Soma Kanuni bwasheeHuyo katibu mkuu hajielewi ukiruhusu hili si kila mtu atamjibu bosi wake anavyotaka??
Huyu mhe. Ndio walimuingizaga chaka Mwendazake kipind cha coronaTaarifa zinasema mkuu wa Idara ya Ujenzi Wizara ya Afya anaendelea na majukumu yake kama kawaida baada ya kubainika kuwa Naibu Waziri hana mamlaka ya kumshusha cheo mtumishi wa wizara