Jambo lilo sahihi ndio lifuatwe.Huyo katibu mkuu hajielewi ukiruhusu hili si kila mtu atamjibu bosi wake anavyotaka??
Kama kiongozi hakufuata utaratibu wakubwa wake wamuache aendelee na kufanya alivyofanya?
Naamini wote watakuwa wamepata maelekezo ya namna ya kuenenda katika kutekeleza majukumu yao.