Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni dhahiri kwamba Wakati wa Shambulio lile la kishamba lililofanywa na watu washamba na Masikini wa akili, walioshindwa hoja za majukwaani, Lissu aliombewa na kutibiwa na Dunia nzima nzima, huyu mtu aliongezwa damu za Wachina, Wazungu na hata waafrica wenzake (Tunawashukuru wadau wote).
Hata hivyo wako wale waliosimama kidete kuhakikisha tiba ya mtu huyu anakuwa hai, hawa walikataa kuhongwa Pesa nyingi kutoka kwa watu wale wale akina naniliu.
Sasa Lissu baada ya kuyajua yote haya amefika Nairobi kuwashukuru Madaktari hao walioishi kwenye kiapo chao.