Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

Mambo ya hovyo sana,mtuanajichimbia huko akitoka anawaambia watu nilipigwa Rossi, utafkikama watu hawajui vile.
 
Jamaa linadeka sana, sera yake ya kuingia ikulu ni kushambuliwa
 
Ila Lissu alichonifurahisha ni kutumia uchaguzi wa 2020 kutaka kuonewa huruma kisa alipigwa risasi bac achaguliwe kuwa rais 😂 baada ya kula za uso akaamua kurudi Ubelgiji, this time cjui atakuja kutia huruma kwa style gani
 
Ni dhahiri kwamba Wakati wa Shambulio lile la kishamba lililofanywa na watu washamba na Masikini wa akili, walioshindwa hoja za majukwaani, Lissu aliombewa na kutibiwa na Dunia nzima nzima, huyu mtu aliongezwa damu za Wachina, Wazungu na hata waafrica wenzake (Tunawashukuru wadau wote).

Hata hivyo wako wale waliosimama kidete kuhakikisha tiba ya mtu huyu anakuwa hai, hawa walikataa kuhongwa Pesa nyingi kutoka kwa watu wale wale akina naniliu.

Sasa Lissu baada ya kuyajua yote haya amefika Nairobi kuwashukuru Madaktari hao walioishi kwenye kiapo chao.

Makonda akiona hii picha anaemia sana
 
Back
Top Bottom