Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

nyie chadema ni kundi la vijana wajinga wasiojitambua mauaji na maharamia ni nyie mliunda vikundi vingi Sana enzi za kikwete vya kuua na kuteka watu Mbowe alimuua Chacha wangwe akamuua Ben Saanane hafu akapanga shambulio la huyo nguruwe wenu acheni ujima nyie maharamia
Na serikali ya ccm na policcm wanalijua hilo,kwamba Mbowe ameunda vikundi vya kuteka na kuua? Kwamba wakati anafanya hayo serikali ilikuwepo inamwangalia tu! Hivi unajua kwa maelezo yako hayo unaitukana serikali?
 
Hii haitasaidia makonda siyo w mchezo mchezo, chadema bila kupata mwenyekiti mwingine ni hamna kitu, Wana laana ya kumpinga JPM
Hili suala la CHADEMA qala CCM, ni suala la mifumo ya utawala wa nchi.

Inatakiwa tuwe na mifumo inayozuia kabisa watu wa ajabu ajabu kuwepo kwenye sehemu za maamuzi, bila ya kujali kama watu hao watapitia CCM, CHADEMA au chama kingine chochote.
 
Maandalizi ya kuja kupambana na bashite kumkumbusha lile shambulizi.
Lissu akianza kupanda majukwaani bashite atashuka jukwaani kwa kuruka chini.
Hata aongeeje hamna kipya kwenye hilo suala
 
nyie chadema ni kundi la vijana wajinga wasiojitambua mauaji na maharamia ni nyie mliunda vikundi vingi Sana enzi za kikwete vya kuua na kuteka watu Mbowe alimuua Chacha wangwe akamuua Ben Saanane hafu akapanga shambulio la huyo nguruwe wenu acheni ujima nyie maharamia
Ulivyoanfika tu, inaonekana una matatizo kichwani. Shughulikia tatizo lako la akili kabla hujafikia hatua mbaya.

Inaonekana umekuwa addicted, ndiyo maana hata ukiteleza ukaanguka, ukiamka, nadhani utailaumu CHADEMA.
 
Kama aliyeandika haya atakuwa mjinga, basi wewe utakuwa mwendawazimu au punguani.

Uovu hausahauliki, ni lazima usemwe daima, ulaaniwe daima ili kujikumbusha umuhimu wa kuwa na mifumo onayozuia kabisa vichaa kushikilia mamlaka za utawala.

Mungu Baba wa mbinguni, tunakuomba, kwa mkono wako wenye nguvu, walaaniwe wale mashetani na wana wao, na wana wa wana wao, wale mashetani wote waliokuwa wamejiapiza kumwua Tundu Lisu, lakini ngao yako yenye nguvu iliwaonesha ukuu wako..

Daud Bashite alaaniwale yeye na jama zake na uzao wake wote, Duniani na mbinguni.
Atalipa siku 1
 
Dua la kuku halimpati mwewe mmemwombea mengi mabaya jamaa anachanja Mbuga mtakufa na presha wajinga nyie nyumbu na misukule ya Mbowe
Ninyi ndio wenye upeo duni sana. Hivi Makonda amechanja mbuga kufika wapi? Kuwa katibu mwenezi wa chama ndiyo kuchanja mbuga?.
 
Ni dhahiri kwamba Wakati wa Shambulio lile la kishamba lililofanywa na watu washamba na Masikini wa akili, walioshindwa hoja za majukwaani, Lissu aliombewa na kutibiwa na Dunia nzima nzima, huyu mtu aliongezwa damu za Wachina, Wazungu na hata waafrica wenzake (Tunawashukuru wadau wote).

Hata hivyo wako wale waliosimama kidete kuhakikisha tiba ya mtu huyu anakuwa hai, hawa walikataa kuhongwa Pesa nyingi kutoka kwa watu wale wale akina naniliu.

Sasa Lissu baada ya kuyajua yote haya amefika Nairobi kuwashukuru Madaktari hao walioishi kwenye kiapo chao.

Bira shaka wamemshauri aache kubwabwaja
 
Back
Top Bottom