Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

nyie chadema ni kundi la vijana wajinga wasiojitambua mauaji na maharamia ni nyie mliunda vikundi vingi Sana enzi za kikwete vya kuua na kuteka watu Mbowe alimuua Chacha wangwe akamuua Ben Saanane hafu akapanga shambulio la huyo nguruwe wenu acheni ujima nyie maharamia
Hichi ulichokiandika inatosha kuonyesha wewe ni mgonjwa wa akili.wahi mirembe mapema kabla hicho kihoro akijakuua kibudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na serikali ya ccm na policcm wanalijua hilo,kwamba Mbowe ameunda vikundi vya kuteka na kuua? Kwamba wakati anafanya hayo serikali ilikuwepo inamwangalia tu! Hivi unajua kwa maelezo yako hayo unaitukana serikali?
Ilo jinga halijielewi.Lenyewe kwasababu ya akili chache linafikiri linamtukana mbowe.Hapo linajiona limeandika cha maana kumbe upuuzi mtupu uku likidhalilisha serikali ya chama chake na vyombo vyake vya ulinzi na usalama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni dhahiri kwamba Wakati wa Shambulio lile la kishamba lililofanywa na watu washamba na Masikini wa akili, walioshindwa hoja za majukwaani, Lissu aliombewa na kutibiwa na Dunia nzima nzima, huyu mtu aliongezwa damu za Wachina, Wazungu na hata waafrica wenzake (Tunawashukuru wadau wote).

Hata hivyo wako wale waliosimama kidete kuhakikisha tiba ya mtu huyu anakuwa hai, hawa walikataa kuhongwa Pesa nyingi kutoka kwa watu wale wale akina naniliu.

Sasa Lissu baada ya kuyajua yote haya amefika Nairobi kuwashukuru Madaktari hao walioishi kwenye kiapo chao.

Nadhani amdhukuru zaidi MBOWE
 
Kila alieshiriki uovu ule dhidi ya Lissu atalipia ni suala la muda tuu
 
Back
Top Bottom