Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ataruka kwenye farasiMaandalizi ya kuja kupambana na bashite kumkumbusha lile shambulizi.
Lissu akianza kupanda majukwaani bashite atashuka jukwaani kwa kuruka chini.
Makonda anaogopwa SanaMaandalizi ya kuja kupambana na bashite kumkumbusha lile shambulizi.
Lissu akianza kupanda majukwaani bashite atashuka jukwaani kwa kuruka chini.
Mmeumbuka sana wajinga nyie !ndio kiki aliyobakisha kushambuliwa na risasi yaani mjinga sana wewe
Kama aliyeandika haya atakuwa mjinga, basi wewe utakuwa mwendawazimu au punguani.ndio kiki aliyobakisha kushambuliwa na risasi yaani mjinga sana wewe
Ni jambo jema....Ni dhahiri kwamba Wakati wa Shambulio lile la kishamba lililofanywa na watu washamba na Masikini wa akili, walioshindwa hoja za majukwaani, Lissu aliombewa na kutibiwa na Dunia nzima nzima, huyu mtu aliongezwa damu za Wachina, Wazungu na hata waafrica wenzake (Tunawashukuru wadau wote).
Hata hivyo wako wale waliosimama kidete kuhakikisha tiba ya mtu huyu anakuwa hai, hawa walikataa kuhongwa Pesa nyingi kutoka kwa watu wale wale akina naniliu.
Sasa Lissu baada ya kuyajua yote haya amefika Nairobi kuwashukuru Madaktari hao walioishi kwenye kiapo chao.
Hii haitasaidia makonda siyo w mchezo mchezo, chadema bila kupata mwenyekiti mwingine ni hamna kitu, Wana laana ya kumpinga JPMKama aliyeandika haya atakuwa mjinga, basi wewe utakuwa mwendawazimu au punguani.
Uovu hausahauliki, ni lazima usemwe daima, ulaaniwe daima ili kujikumbusha umuhimu wa kuwa na mifumo onayozuia kabisa vichaa kushikilia mamlaka za utawala.
Mungu Baba wa mbinguni, tunakuomba, kwa mkono wako wenye nguvu, walaaniwe wale mashetani na wana wao, na wana wa wana wao, wale mashetani wote waliokuwa wamejiapiza kumwua Tundu Lisu, lakini ngao yako yenye nguvu iliwaonesha ukuu wako..
Daud Bashite alaaniwale yeye na jama zake na uzao wake wote, Duniani na mbinguni.
Pia apite na pale Dodoma General awashukuru, ni jambo njema sana amefanyaNi dhahiri kwamba Wakati wa Shambulio lile la kishamba lililofanywa na watu washamba na Masikini wa akili, walioshindwa hoja za majukwaani, Lissu aliombewa na kutibiwa na Dunia nzima nzima, huyu mtu aliongezwa damu za Wachina, Wazungu na hata waafrica wenzake (Tunawashukuru wadau wote).
Hata hivyo wako wale waliosimama kidete kuhakikisha tiba ya mtu huyu anakuwa hai, hawa walikataa kuhongwa Pesa nyingi kutoka kwa watu wale wale akina naniliu.
Sasa Lissu baada ya kuyajua yote haya amefika Nairobi kuwashukuru Madaktari hao walioishi kwenye kiapo chao.
nyie chadema ni kundi la vijana wajinga wasiojitambua mauaji na maharamia ni nyie mliunda vikundi vingi Sana enzi za kikwete vya kuua na kuteka watu Mbowe alimuua Chacha wangwe akamuua Ben Saanane hafu akapanga shambulio la huyo nguruwe wenu acheni ujima nyie maharamiaKama aliyeandika haya atakuwa mjinga, basi wewe utakuwa mwendawazimu au punguani.
Uovu hausahauliki, ni lazima usemwe daima, ulaaniwe daima ili kujikumbusha umuhimu wa kuwa na mifumo onayozuia kabisa vichaa kushikilia mamlaka za utawala.
Mungu Baba wa mbinguni, tunakuomba, kwa mkono wako wenye nguvu, walaaniwe wale mashetani na wana wao, na wana wa wana wao, wale mashetani wote waliokuwa wamejiapiza kumwua Tundu Lisu, lakini ngao yako yenye nguvu iliwaonesha ukuu wako..
Daud Bashite alaaniwale yeye na jama zake na uzao wake wote, Duniani na mbinguni.
Wa kulia suta ni ya Magufuli kabisaNi dhahiri kwamba Wakati wa Shambulio lile la kishamba lililofanywa na watu washamba na Masikini wa akili, walioshindwa hoja za majukwaani, Lissu aliombewa na kutibiwa na Dunia nzima nzima, huyu mtu aliongezwa damu za Wachina, Wazungu na hata waafrica wenzake (Tunawashukuru wadau wote).
Hata hivyo wako wale waliosimama kidete kuhakikisha tiba ya mtu huyu anakuwa hai, hawa walikataa kuhongwa Pesa nyingi kutoka kwa watu wale wale akina naniliu.
Sasa Lissu baada ya kuyajua yote haya amefika Nairobi kuwashukuru Madaktari hao walioishi kwenye kiapo chao.
Dua la kuku halimpati mwewe mmemwombea mengi mabaya jamaa anachanja Mbuga mtakufa na presha wajinga nyie nyumbu na misukule ya MboweKama aliyeandika haya atakuwa mjinga, basi wewe utakuwa mwendawazimu au punguani.
Uovu hausahauliki, ni lazima usemwe daima, ulaaniwe daima ili kujikumbusha umuhimu wa kuwa na mifumo onayozuia kabisa vichaa kushikilia mamlaka za utawala.
Mungu Baba wa mbinguni, tunakuomba, kwa mkono wako wenye nguvu, walaaniwe wale mashetani na wana wao, na wana wa wana wao, wale mashetani wote waliokuwa wamejiapiza kumwua Tundu Lisu, lakini ngao yako yenye nguvu iliwaonesha ukuu wako..
Daud Bashite alaaniwale yeye na jama zake na uzao wake wote, Duniani na mbinguni.
Mfu hawezi kulaani watu.Hii haitasaidia makonda siyo w mchezo mchezo, chadema bila kupata mwenyekiti mwingine ni hamna kitu, Wana laana ya kumpinga JPM
Hakuna mtu anaogopa mtu mwenye kalio la mloganzila.Makonda anaogopwa Sana