Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

Na serikali ya ccm na policcm wanalijua hilo,kwamba Mbowe ameunda vikundi vya kuteka na kuua? Kwamba wakati anafanya hayo serikali ilikuwepo inamwangalia tu! Hivi unajua kwa maelezo yako hayo unaitukana serikali?
 
Hii haitasaidia makonda siyo w mchezo mchezo, chadema bila kupata mwenyekiti mwingine ni hamna kitu, Wana laana ya kumpinga JPM
Hili suala la CHADEMA qala CCM, ni suala la mifumo ya utawala wa nchi.

Inatakiwa tuwe na mifumo inayozuia kabisa watu wa ajabu ajabu kuwepo kwenye sehemu za maamuzi, bila ya kujali kama watu hao watapitia CCM, CHADEMA au chama kingine chochote.
 
Maandalizi ya kuja kupambana na bashite kumkumbusha lile shambulizi.
Lissu akianza kupanda majukwaani bashite atashuka jukwaani kwa kuruka chini.
Hata aongeeje hamna kipya kwenye hilo suala
 
Ulivyoanfika tu, inaonekana una matatizo kichwani. Shughulikia tatizo lako la akili kabla hujafikia hatua mbaya.

Inaonekana umekuwa addicted, ndiyo maana hata ukiteleza ukaanguka, ukiamka, nadhani utailaumu CHADEMA.
 
Atalipa siku 1
 
Dua la kuku halimpati mwewe mmemwombea mengi mabaya jamaa anachanja Mbuga mtakufa na presha wajinga nyie nyumbu na misukule ya Mbowe
Ninyi ndio wenye upeo duni sana. Hivi Makonda amechanja mbuga kufika wapi? Kuwa katibu mwenezi wa chama ndiyo kuchanja mbuga?.
 
Bira shaka wamemshauri aache kubwabwaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…