Naisha na single mother ila sasa mwanae ni mtundu balaa, nikimuonya mama yake anakuja juu

Hivi wanaume wengine huwa mnawaza nini mpaka unamchukua singo maza?
 
Ha ha Maamuzi magumu siyo?.
 
Lazima kuthamini vitu pia kwa kuviweka mbali na mtoto anapokuwa katika umri huo. Mbona hajamwacha kwenye moto au umeme? We ulishakuwa na mtoto katika umri huo, nini ulikuwa unafanya kuzuia uharibifu? Je mlimwachia kila kitu aharibu simply anajifunza?
 
mtoto ni Malaika na ukipenda ua penda na boga lake. USIMUACHE HUYO MWANAMKE TAFADHALI.
 
Ni jamaa wa ujenzi alikuja kwa project ya ujenzi enzi za magu raia wa Rwanda baada magu kufa kaludi kwao
So hiyo ikakupa guarantee 💯 kuwa jamaa hatarudi kwa mke wake? No matter the circumstances zilizomfanya awe single mother piga chini
 
Hivyo vitu hata si vigeni kwa nyumba yenye mtoto mdogo iwe ni wa wako ama sio ni vile hukutaka kuvijua kabla na namna ya kukabiliana navyo pindi vikitokea ndo sababu unahangaika.

#Akikuaataacha.
 
Hivyo vitu hata si vigeni kwa nyumba yenye mtoto mdogo iwe ni wa wako ama sio ni vile hukutaka kuvijua kabla na namna ya kukabiliana navyo pindi vikitokea ndo sababu unahangaika.

#Akikuaataacha.
Changamoto ni kauli za mama yake kuwa "au kwa sababu mtoto sio wako" hii kauli inakata sana na single mothers wengi wanapenda kuitumia pindi unapogusa watoto wao.
 
Mwanaume mzima unashindwa kufanya maamuzi?...anapokwambia au kisa siyo mtoto wako maana yake Nini?, ni chizi pekee ndo atakubali kukaa naye huyo mwanamke.
 
Pole baba junia
 
Toto linakudharau sana, basi tuu haliwezi kukushauri kuhusu single maza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…