Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

𝐓𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚 𝐜𝐡𝐮𝐦𝐛𝐚 𝐦𝐩𝐚𝐧𝐠𝐢𝐬𝐡𝐢𝐞 𝐧𝐚 𝐮𝐦𝐩𝐞 𝐦𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐰𝐚 𝐦𝐛𝐨𝐠𝐚 𝐦𝐛𝐨𝐠𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐭𝐮𝐧𝐝𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐦𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚.
 
Naomba kuuliza,mana kuuliza siyo ujinga.

Hizi dating apps ambazo watu utoa ushuhuda kuwa wana/walikutana huko ni special au ni hizi hizi social media kama Facebook, Instagram na Jf?
 
Naomba kuuliza,mana kuuliza siyo ujinga.

Hizi dating apps ambazo watu utoa ushuhuda kuwa wana/walikutana huko ni special au ni hizi hizi social media kama Facebook, Instagram na Jf?
Kuna App inaitwa Badoo
 
Poor Brain dronedrake mko wapi Intelligent businessman
 
Huyo ni mkeo unataka umuache kwa sababu gani? Utakuwa ni malaya uliyekubuhu unashindwa kukaa na mke mmoja
 
Mwambie umepata rafiki mwingine kwenye app
Hapo ndipo atajiletea shida, ataamua kumkomoa, ila watu majasiri, kutoka dating app ghafla penzi, ghafla shopping, ghafla anakupikia bila kuweka sumu ya panya, ghafla unalala usingizi na unakoroma huogopi kaona sebule yako katamani vitu akuchinjie usingizi, aisee hii haina utofauti na wale wanaojitoaga muhanga.
 


Njia nzuri ya kumuondoa Jaribu kumchunguza na sio kumfatilia ,mchunguze .

Ili umchunguze MTU ujikite katika umbo lake la ndani na sio umbo la nje.

Baada ya hapo utajua namna nzuri ya kuwa naye au kuachana naye ili wewe uwe safe na yeye abaki safe.
 
Umenipotezea muda wangu

Man up.!!
 
Yeye Bado unampenda au umemchoka. Halafu mpo mkoa gani ili tulipe maelekezo
 
Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili Tatu, kilaji kidogo tukajikuta Penzini.
Kama umeshamkula tayari umeshaunganishwa naye, hapo ni hadi kifo kiwatenganishe.

Ni mpenzi wako huyo usimkimbie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…