Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ Wala Si Fb, Na Sikusema Namfukuza Jamani! Natafuta tu Namna Ya Kumsogeza
 
Mpange mshkaji wako ajifanye yeye ni mshua wako akupigie simu na kukwambia siku fulani mama yako atakuja hapo atalala ili kesho yake umpeleke hospital. Case closed
Usioe mkuu maana jambo dogo kama hili limekushinda ndoa hutaiweza
NDOA NI UTAPELI
 
Mpaka nguo umenunua kupika anakupikia na hana makuu mpole mstaarabu Sasa ubasubiri Nini?

Kipengele kitakachokusumbua maisha Yako n Dating app
Ila nyongeza ndio inasumbua hapa. Si kwamba anapika tu, bali pia anapakua. Akifikiria hapo anashindwa jinsi ya kumuacha!
 
Yani vijana tukishavua ch*pi ndo akili inakaa vizuri,na inakuaje dem haumjui na unampeleka kwako kama alikuja na sembe akakukamatisha.ila kikubwa wewe fanya ujue kwao 2 kwasababu hawa viumbe maisha yamechangamka kwa sasa.
 
Unacheza na kaa la moto, muondoe bila kujali ataumia au vipi.

Utaratibu wa kufahamiana vizuri utafuata baadae.
 
Kwann usimuombe akutambulishe kwa ndugu zake kama una wasiwasi nae kuliku kumtoa hapo kwako maana inaonekana ulitaka kumla tu alaf umpotezee.
 
Chakula Mwanzo tulikua tunakula Out, Ila Akaniambia Mbona tunaspend Sana kula nje na ninaweza Kukupikia Nyumbani kwa gharama za Kawaida? Na Ukiangalia ni Kweli akipika anatumia Gharama ndogo
Mke huyo, Fata Taratibu Weka ndani.
 
Mwanamke wa kuweka ndani ni anaetoka kwao iwe kwa kutoroka au kufuatwa ila kwao kupo wazazi ndugu wapo fullstop, utakuja ishi na majini siku unarudi umkuti na umwoni tena we anza na utaratibu wa kuja na mdudu na kijiti
 
Tafuta demu mwenye aina ya "asha ngedere" mlipe,mwachie hio kazi ya kukutolea huyo Dada.
 
Hata usimfukuze mpangishie chumba na umpe mtaji Wa biashara Si mpenzi wako hyo
 
Unacheza na kaa la moto, muondoe bila kujali ataumia au vipi.

Utaratibu wa kufahamiana vizuri utafuata baadae.
Kabisa, Naona Wengi Wananihukumu kwa Kosa ambalo Tayari Nilishalifanya, Honestly Nataka Sana, tufahamiane kwa Ukaribu, Ila Kipindi ambacho hatakua Nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ