Uko sawa sijajua kama diamond alikua anaandikiwa mashairi(ghost writer) au alikia anaandika mwenyewe mana ukisikiliza nyimbo kamwambia,mbagala na nyingine kali zs mwanzo zilikua zimeshiba mashairi lakn sasa hivi anatunga mashairi mepes sana na yakuunga unga sana... msikilize ali kiba mashairi yake yalivyotulia na yameshiba kila akitoa nyimbo hamna mtu asiyemkubali anachora sana kitu bacho wasanik weng hawana
Diamond akiendelea kuimba hivi kama kwenye FOA, basi atafanya makubwa sana. Kuhusu kuandikiwa mashairi siyo jambo baya, maana hata wasanii wakubwa duniani huwa wanaandikiwa. What we want is the melody and a taste of his soul. Ile ngoma kali kama STILL DRE ni ya moto mpaka leo, lakini DRE na Snoop waliandikiwa na Jay-Z.
Kitu ambacho Diamond kimemgharimu achelewe kufika ni kuchelewa kubadilika kama wenzake Wiz-Kid, Davido na Burna. Nimewasikiliza hawa tangu zamani na nyimbo zao zilikuwa zimechangamka lakini hazina kiwango kama sasa. Wiz-Kid alikuwa anapiga nyimbo za kuruka (Siyo jambo baya), lakini baadae akaanza kubadilika na kuweka a little bit of RnB, Soul, Blues and Highlife.
Davido naye alivyojiunga na SONY alitaka kuiga muziki wa Marekani akastuka na kugeuka mapema. Burna naye alivyorudi akaanza kupiga Blues, Soul and Highlife akatoboa. Muziki wa West-Africa kama, Highlife unafanya vizuri kwasababu una mahadhi ya muziki asilia wa Afrika uliochanganywa na mahadhi ya miziki kama Jazz, Soul na Blues kutoka Marekani. Siku hizi wanaijeria wanuiita muziki wao Afro-Fusion.
Kuna baadhi ya nyimbo kwenye FOA nimesikia vionjo vya Highlife hadi nikabaki nashangaa. Hii aina ya muziki ni ngumu sana kwa wasanii wengi kuifanya, aidha utakosea au kupatia sana. Kijana wetu kanifurahisha sana akiendelea hivi, basi miaka miwili tu atafanya makubwa mno. Ajikite tu kufanya collabo na wasanii wanaoimba highlife kama Adekunle, Burna, Timi Dakolo,